Salama Lyrics
Salama, salama
Salama na wewe
Salama, salama
Salama, salama
Salama na wewe
Salama, salama
Umeondoa aibu, aibu
Ukaondoa dharau masaibu, masaibu
Na sina tena wa kumwambia
Kile roho inapitia baba
Nitakuishia forever
For you Lord
Ooh si makachiri kachiri, oh saga
Nikihubiri hubiri, Hosana
Na mienendo badili badili, ooh baba
Uwe nyumbani kazini, salama
Salama, salama
Salama na wewe
Salama, salama
Salama, salama
Salama na wewe
Salama, salama
Kuna time mi nakosa
Lakini hujawahi comoplain
Hujawahi nitoka
Hujawahi ninunia
Kama kuna kitu iko ndani ya pain
Ifanye neno yako iende chain chain
Ndani yako hakuna compe
We baba unanitosha
Sioni nikienda kando na
Hata kama iwe mambo na
Mwanadamu atangoja, haiya
Atangoja sana
Ooh si makachiri kachiri, oh saga
Nikihubiri hubiri, Hosana
Na mienendo badili badili, ooh baba
Uwe nyumbani kazini, salama
Salama, salama
Salama na wewe
Salama, salama
Salama, salama
Salama na wewe
Salama, salama
Salama, salama
Salama na wewe
Salama, salama
Salama, salama
Salama na wewe
Salama, salama
Niko salama
Niko salama
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Salama (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE