Home Search Countries Albums

Kamazimeshika

YO ADE Feat. YOUNGCRAIZII

Kamazimeshika Lyrics


 

Yoh wassup
This is your boy Young Craizii 
Chillin with Blackjacks
Realest shit bro
Kama zimeshika zimeshika bro
Yeah, monkey business
Catchy 
Get it...

Kama zimeshika 
Zimeshika buda
Na kama ni za ni za Vera 
Zimeshida Huddah

Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there? 

Kama zimeshika 
Zimeshika buda
Na kama ni za ni za Vera 
Zimeshida Huddah

Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there?

Na kama zimeshika 
Zimeshika buda
Na kama ni za ni za Vera 
Zimeshida Huddah

Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there? 

Craiziii uh
Hapa ni wapi tukimbie na wakati
Rada ni safi
Leta kamati, piga rasapa chipati
Huku ni party

Wapigwe risasi, mimi ni jambazi
Huku wanangoa mabati
Kiherehere mbele mbele
Mi nawafika minyati

Form ikijipa, rada ni wapi
Bora najaza umati
Uyo ni manzi ako na mini
Tusipoteze wakati

Nimshike wapi, ama ni juu
Ama ni katikati
Vile unataka, hizo miguu
Lazima nilale ndani
Vile unataka, mikono juu
Lazima nishike mali

Pale ni mali, pale ni gari
Sisi ni nani jo
Oya wa kwenda, vile umebeba
Lazima utippy toe
Kama ni leo nimezibeba
Lazima nirushe doh

Keti kwa kiti, uguzwe matiti
Niitishe kiberiti, uone mahaga
Kama una shida, uache umama 
Kama ni Lupita, alishahama
Kama ni Raila, anaka Hummer

So my nigga time is up eeh
Vera or Huddah 
What the shit?
Who is doing this shit!

Kama zimeshika 
Zimeshika buda
Na kama ni za ni za Vera 
Zimeshida Huddah

Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there?

Kama zimeshika 
Zimeshika buda
Na kama ni za ni za Vera 
Zimeshida Huddah

Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there?

Napanga manoti vile me ni baller
Niko Kabete, niko Namanga 
Niko na mbogi na napeleka vita
Ka ni marapper me ndio nawamada
Vile napandisha moto ka pasi

Shika kitabu, keti kwa daro
Washa makoro design ya Khalifa 
Toka teke ka umepigwa na -Gang!
Nipate kejani na mbogi ya Bangu

Me nakazana, me nakabana
Siwezi waacha mpaka nipate ferrari
Me niko Kayole napata magondo
Mi ka nikiachwa na trap on the beat

Niggas are back on the game with the dab
Hittin' the meg, making cash
Niggas are back on the game with the dab yoh

Kameshika nare, kama miti ndani ya pongi
Msupa amebeba haga mimi simwagi nnje
Cheki kwela, cheki chero 
Cheki mpaka figa

Mikono supa, ni uinama fiti
Shika kibanda, piga kijung'a
Cheki ana konda vile nabonga
Vile natema, vile namada kipii ka Wenger

Cheza chini, me napanda juu
Nafika bei, vile unafika choo
Am getting it am making the cash
Am dabbing back in the benz
Nipe za man of a kind, huh
Back in the cash

Kama zimeshika 
Zimeshika buda
Na kama ni za ni za Vera 
Zimeshida Huddah

Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Who is there? Huddah
Get it, get it, get it

Kama ni Vera amezibeba
Kama ni jela niko kwa chamber
Kama ni tena nitazifyeka
Kula kiapo chapa ma--

Rada ni yangu hizo matako
Vile unataka, mimi ni baba yako
Piga rotation, hiyo ni circle
Huyo dadako, -- kam hapo 

Si ni majambo, rambo kanambo
Si nina mitambo, niite kejani
King of the jungle, nimeland Roysambu
(Take it to the next level)

Saka mapeni, cheki una nini?
Huku ni dini bro
Bonga na mimi, ujue ni nani mkali mjini so
Kula mabare, lamba mabare hizo vitimbi no
Nataka gari, hiyo ferrari, hiyo ni mita soo

Sisemi hiyo gari, mali ni mali
Ni dem na kichwa doh
Jina ni nani?
Washa manare, then na lead the smoke

Yeah, this is my crew black jack
We coming for you ninjas
Tangu siku gani... 
Haga ya Huddah ikakuwa ni kubwa 
Kuliko ya Verah, Verah

Ata ka zangu zimeshika
Am on top of the shit
Chilling with Blackjack the crew bro
Thats whatsup

Killing the snitches
1960 Kayole
Bitch out, Nigga

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Kamazimeshika (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

YO ADE

Kenya

Yoh Ade is a Kenyan hiphop artist. He is from the crew Black Jack a hiphop crew based in Nairobi Eas ...

YOU MAY ALSO LIKE