Katu Lyrics
Vurugu maizingwe la mapenzi yote naelewa
Nisijekufa mtima mwisho ukaniumiza
Alafu ukapotea
Methali tamu kwenye mapenzi
Yote nishahadithiwa
Asa ni kipi tena unaweza sema
Na nikakuelewa
Legeza kamba kidogo nipe chance tuongee ongee
Maana mazima kwako nishavapa sio uwongo
Tena punguza hasira za mbogo
We kubali niwe nawe
Mwenzako nikipenda nimependa sio uwongo
Huna lolote na zako tamaa
Akili yako inawaza tu zinai
Usijenipa nongwe nikikupenda
Sina habari mie
Unavyohisi hivyo sivyo mama
Kusema ukweli nakupenda sana
Kani kama ukinipee na nikakupee
Ona utaenjoy
Katu katu, siko kwenye mapenzi
Katu sina hamaya, katu katu
Maana nishalia nikaumizwa mapenzi haya
Katu katu basi nikubalie uwe na mie utaenjoy
Katu katu
Labda ulipenda usipopendwa ndo maana unajutia
Ah wacha leo nikujuze
Kinywa hunena ila moyo unapenda
Yale yanyuma yapuuze
Mshika mawili na moja huponyoka
Sa niskize
Hapana mwana hapana na
Ukweli hakuna jipya
Nishatapata pana roho
Mapenzi yakaniliza
Na ni kipi sa hicho
Unaweza kubadilisha
Maana mapenzi donda roho
Na mwisho kuaibishana
Hata mazao huenda ekwa mbolea
Na kipindi cha msimu nitapalilia
Na moyo wangu unakuongojea
Amini we ndo wangu wa kufa kuzikana
Huna lolote na zako tamaa
Akili yako inawaza tu zinai
Usijenipa nongwe nikikupenda
Sina habari mie
Unavyohisi hivyo sivyo mama
Kusema ukweli nakupenda sana
Kani kama ukinipee na nikakupee
Ona utaenjoy
Katu katu, siko kwenye mapenzi
Katu sina hamaya, katu katu
Maana nishalia nikaumizwa mapenzi haya
Katu katu basi nikubalie uwe na mie utaenjoy
Katu katu
Labda ulipenda usipopendwa ndo maana unajutia aah aah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Katu (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PLATFORM
Tanzania
Platform is a Bongo Flava recording artist/ Singer/ Songwriter/ dancer and a businessman from Tanga, ...
YOU MAY ALSO LIKE