Hodari Samia Lyrics

Kazi inaendelea, makasi ile ile
Sifa yake mpole mnyenyekevu
Mchapa kazi hodari
Aha mwana mama shupavu
Mwenye upendo Samia komando
Amepokea kijiti shaka hatuna
Tanzania mpya yaja
Amenia kutuvusha tufike kule
Tunakopatazamia
Kazi inaendelea, kuujenga uchumi wa Tanzania
Makasi ile ile, awamu ya sita hatulali hatupoi
Kazi inaendelea, Mama Samia dereva twakuaminia
Makasi ile ile, Tanzania tuchape kazi
Mama, rais wetu
Mama, Mama Samia Suluhu
Mama, Kiongozi wetu
Yuko hodari imara
Mama, rais wetu
Mama, Mama Samia Suluhu
Mama, Kiongozi wetu
Mwenye hekima na busara
Amesema zege halilali
Tuamke tuchape kazi tujenge nchi
Malkia wangu nguvu, Samia
Superwoman, mwanamke jasiri
Anatuhimiza upendo mshikamano, uwajibikaji
Hime waTanzania tuzidishe uzalendo
Tudumishe amani hio ndio nguzo yetu
Serikali ya awamu ya sita imejipanga dhabiti
Kulete maendeleo Tanzania isonge mbele, mbele kwa kasi
Kazi inaendelea, kuujenga uchumi wa Tanzania
Makasi ile ile, awamu ya sita hatulali hatupoi
Kazi inaendelea, Mama Samia dereva twakuaminia
Makasi ile ile, Tanzania tuchape kazi
Mama, rais wetu
Mama, Mama Samia Suluhu
Mama, Kiongozi wetu
Yuko hodari imara
Mama, rais wetu
Mama, Mama Samia Suluhu
Mama, Kiongozi wetu
Mwenye hekima na busara
Suluhu, mpango kanyaga twende
Suluhu, mpango kanyaga twende
Suluhu, mpango kanyaga twende
Suluhu, mpango kanyaga twende
Mama, rais wetu
Mama, Mama Samia Suluhu
Mama, Kiongozi wetu
Yuko hodari imara
Mama, rais wetu
Mama, Mama Samia Suluhu
Mama, Kiongozi wetu
Mwenye hekima na busara
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Hodari Samia (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE