Neema Yako Lyrics

Hapo nimefika, si kwa nguvu zangu
Nimeona mkono wako
Hapo nimefika, si kwa nguvu zangu
Nimeona mkono wako
Chote ninacho, si akili zangu
Nime ishi upendo wako
Chote ninacho, si akili zangu
Nime ishi upendo wako
Umejifunua, kuwa yote kwangu
Bila wewe mimi ni sikitu
Umejifunua, kuwa yote kwangu
Bila wewe mimi ni sikitu
Hata nipate, na hata ni kose
Neema yako yani tosha
Hata nipate, na hata ni kose
Neema yako yani tosha
Hata nipate, na hata ni kose
Neema yako yani tosha
Oh oh oh Yesu
Neema yako yani tosha
Oh oh oh Yesu
Neema yako yani tosha
Oh oh oh Yesu
Neema yako yani tosha
Oh oh oh Yesu
Neema yako yani tosha
Oh oh oh Yesu
Neema yako yani tosha
Oh oh oh Yesu
Neema yako yani tosha
Ee bwana, wewe wani tosha eh bwana
Ee bwana, wewe wani tosha eh bwana
Ee bwana, wewe wani tosha eh bwana
Ee bwana, wewe wani tosha eh bwana
Ni wewe, msaada wangu bwana
Ni wewe, kimbilio langu bwana
Ni wewe, mtetezi wangu bwana
Ni wewe, tumaini langu bwana
Ni wewe, kimbilio langu bwana
Eh bwana, eh bwana, eh bwana
Ni wewe, ni wewe, ni wewe
Eh bwana, eh bwana, eh bwana
Ni wewe, ni wewe, ni wewe
Eh bwana, eh bwana, eh bwana
Ni wewe we wanitosha eh bwana
Ni wewe, tumaini langu bwana
Eh bwana, eh bwana, eh bwana
Ni wewe, ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe, ni wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Neema Yako (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
PATRICK KUBUYA
Congo
Patrick Kubuya is a gospel artist from Congo, he is best known for his song "Moyo Wangu" w ...
YOU MAY ALSO LIKE