Anaweza Lyrics

Tunafaa vile
Anaweza Bwana Yesu Anaweza(x3)
Twende Tena
Anaweza Bwana Yesu Anaweza (x5)
Inua Sauti Tena mwambie
Nitapiga hatua ya Imani
Nitaimba Ushindi wangu kwa Umbele
Kwa huyu Yesu hajawai shindwa
Neno lake Ni Kweli katimiza
Yote alioyasema Bwana Yesu
Hajawaishindwa
Nitapiga Hatua ya Imani
Nitaimba Ushindi wangu kwa Umbele
Kwa huyu Yesu hajawai shindwa
Neno lake Ni Kweli katimiza
Yote alioyasema Bwana Yesu
Hajawaishindwa
Alifanya njia ndani ya Bahari
Bwana Yesu Anaweza
Ahadi zake Kweli zatimika
Hajawaishindwa kutimiza
Bwana Yesu Anaweza
Anaweza Bwana Yesu Anaweza x3
Hatawai shindwa Kitu
Bwana Yesu Anaweza
Hallelujah
Hallelujah
Yesu Anaweza
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Anaweza
Copyright : ©2019
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
PATRICK KUBUYA
Congo
Patrick Kubuya is a gospel artist from Congo, he is best known for his song "Moyo Wangu" w ...
YOU MAY ALSO LIKE