Unastahili Lyrics

Mbali nawe nilikuwa
Macho yako kaniona
Mdhaifu katika dhambi
Upendo wako ulikuwa
Mimi wako ewe wangu
Ewe Yesu nashukuru
Ulinipenda unanipenda
Utanipenda na mimi
Mimi ni nani katika wengi
Kuchaguliwa na wewe Bwana
Mbali nawe nilikuwa
Macho yako kaniona
Mdhaifu katika dhambi
Upendo wako ulikuwa
Mimi wako wewe wangu
Ewe Yesu nashukuru
Ulinipenda unanipenda
Utanipenda na mimi
Mimi ni nani katika wengi
Kuchaguliwa na wewe Bwana
Mbali nawe nilikuwa
Macho yako kaniona
Mdhaifu katika dhambi
Upendo wako ulikuwa
Mimi wako wewe wangu
Ewe Yesu nashukuru
Ulinipenda unanipenda
Utanipenda na mimi
Mimi ni nani katika wengi
Kuchaguliwa na wewe Bwana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Unastahili
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE