Lewa Lyrics
Yoh Paroty, vipi Oneboy
Leo tutese bana, eee
Kabagazi, yoh (Okwonko) leo ni kuchafua my friend
(Its Jegede on the beat)
Leo niko out nimekuja kutesa
Kesho siko job ni kulala fofofo
Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza
Usituone hivi hivi tumekuja na pesa
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa
[Kabagazi]
Ati leo niko na mbogi hatari
Tena hatari niko hadi na gari
Kabagazi aka ganji
Sina kinywaji waiter mtiaji
Ah kidogo tu, kidogo tu
Waitress amebeba tippin
Is it me or my drink is speakin'
Sipping sipping am sipping
Aiyaya, Vunulu
Peremende pombe yangu usiweke mchele
Leo nameza hata kama ni tembe
Ndio nilewe mpaka nibebwe
Leo niko out nimekuja kutesa
Kesho siko job ni kulala fofofo
Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza
Usituone hivi hivi tumekuja na pesa
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa
[Mejja]
Leo lazima nipatikane (Okay)
Na ka Tusker ama cane
Pewa chupa usilambe lambe
Wapi chaser iko pande gani? (Pande hii)
Ng'ang'o, Whiskey, hanjam hanjam mingi
Mi nataka jo niteke toto
Na msupa tulewe hadi kesho
Shorts kamino, booti, voodoo
Chapa toto, ukimaliza K.O
Leo niko out nimekuja kutesa
Kesho siko job ni kulala fofofo
Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza
Usituone hivi hivi tumekuja na pesa
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa
Sunguchula, amekaa amekaa
Kibakuli fiti titi
Sishindi mwana, oshi sindi
Aiyayaya amalwa amalwa
Eeh mchunge dem wako bana
Naeza mchapa hadi kesho mchana
Kako tipsy bado nakaongeza shada
Mi nipe Whiskey Dj cheza tu mabanger
Peremende pombe yangu usiweke mchele
Leo nameza hata kama ni tembe
Ndio nilewe mpaka nibebwe
Leo niko out nimekuja kutesa
Kesho siko job ni kulala fofofo
Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza
Usituone hivi hivi tumekuja na pesa
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa (Na si ulewe tu)
Pewa, lewa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Lewa (Single)
Copyright : (c) 2020 Wanati
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE