Home Search Countries Albums
Read en Translation

Roho Lyrics


Sita waacha yatima
Nta tuma msaidizi
Awafunze na awakumbushe niliyo yanena Jana
No, sita waacha pekeyenu
Ntarudi kwenu ah
Walimwengu hawataniona
Nitaishi ndani yenu

Rafiki yangu roho
Roho was Mungu
Roho wa kweli na Wa ufunuwo
Rafiki yangu roho
Roho wa Mungu
Wa ujasiri, upendo
Roho wa ushirika
(Rafiki yangu roho
Roho was Mungu
Roho wa kweli na Wa ufunuwo
Rafiki yangu roho
Roho wa Mungu
Wa ujasiri, upendo
Roho wa ushirika)

Mmmhh
Kwako roho napata hekima
Kwako roho napata amani
Kwako nimejifunza kuskia
Kwako roho napata uzima
Kwako roho napata ufahamu
Kwako mimi napata utulivu
Kwako roho napata hekima
Kwako roho napata amani
Kwako nimejifunza kuskia
Kwako roho napata uzima
Kwako roho napata ufahamu
Kwako mimi napata utulivu

(Sauti yako ni tamu kama Nini)
Kwako nimejifunza kuskia
(Niheri wote wanyamaze, Nikusikilize tu)
Kwako nime jifunza kuskia
(Niji funze kuskia na sikiyo la ndani, Yesu oohh)
Kwako nimejifunza kuskia
(Rafiki roho, rafiki roho)
Kwako nimejifunza kuskia
(Rafiki roho, rafiki roho)
Kwako nimejifunza kuskia

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Roho (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

PAMMY RAMZ

Kenya

Pammy Ramz is a  gospel recording artist/songwriter, praise and worship minister from Keny ...

YOU MAY ALSO LIKE