Uketiye Lyrics
Uketiye juu sana
Moyo wangu wakuhimidi
Uketiye juu sana
Milele utukuzwe
Uketiye juu sana
Moyo wangu wakuhimidi
Uketiye juu sana
Milele utukuzwe
Moyo wangu wakuadhimisha Yesu wangu
Roho yangu yakufurahia
Mungu mwenye nguvu umenitendea
Makuu, himidiwa
Uketiye juu sana
Moyo wangu wakuhimidi
Uketiye juu sana
Milele utukuzwe
Pendo lako Yesu linanihifadhi
Linadumu hata milele
Rehema zako zinadumu vizazi hata vizazi
Utukuzwe
Uketiye juu sana
Moyo wangu wakuhimidi
Uketiye juu sana
Milele utukuzwe
Moyo wangu wakutukuza Bwana
Oooh wewe uketiye juu zaidi ya vyote
Hakuna, hakuna kama wewe
Hakuna, hakuna kama wewe
Baba hakuna kama wewe
Hakuna kama wewe
Uketiye juu sana
Moyo wangu wakuhimidi
Uketiye juu sana
Milele utukuzwe
Uketiye juu sana
Moyo wangu wakuhimidi
Uketiye juu sana
Milele utukuzwe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Uketiye (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE