Hapo Tu Parody (Hapo Juu) Lyrics
Hapo juu, hapo juu, hapo juu, hapo
Hapo juu, hapo juu, hapo juu
Hatuhurumiagi watu wa madiaba
Ni ka tuko Kamiti
Zenyu mkitwangana, zetu tu ni peeing
Leo tumeonekana beba ndizi mingi
Ka uko na kamaddam kutema leo kwa wingi
Ni mimi hapa kwa fridge papa Arimis
Wananyona nugu ati ndio usherati
Na mkumbuke kabla ya kufunga neti
Muache tu kamwanya tuanze time ya kuvua shati
Si uulize ka hujui shimo ya mabati
Si ujisort ju tuko makiangazi
Si tuko window muhathara ju ya taki
Hapa mafimbo tunakunja kama plastic
Upele ndo imejaa kwa chest
Nashindwa aje
Bora una dame kwa hii game si tuko happy
Tangu tuingie kwa hii mchezo si ndo finalist
Na hii kijiti tunarub ka mswaki
Mchape usijali, hatukujudge
Hapo juu, hapo juu, hapo juu
Usijali, hatukujudge
Hapo juu, hapo juu, hapo juu
Usieke hapo ni kwa mlango
Alafu turn to your right hako ka angle
Umuingize viboko tu kama daro
Vile suruali imenishika mpaka nina choke
Anzia Arimis na umalizie na bar soap
After soap unanukia nika ume shower
After hii utawacha Atis na ma Sharon
Hautai itisha juu ukitaka we ndio first choice
Kitu kaa hii ni rare uichimbe ndo upate
Mi na majeshi kuokolea hadi tuna vibrate
Vutia Wakesho akilenga vutia margaret
Tunaingia Makeja hata mtutukane
Mchape usijali, hatukujudge
Hapo juu, hapo juu, hapo juu
Usijali, hatukujudge
Hapo juu, hapo juu, hapo juu
Hii genge inabisha ina 30 cm
Kuchange madirisha usijali we tandika
Ingiza hio kichwa dhigiriri tunaficha
Unawahi unachimba si zetu nkutapika
Hii genge inabisha ina 30
Kuchange madirisha usijali we tandika
Ingiza hio kichwa dhigiriri tunaficha
Unawahi unachimba si zetu nkutapika
Mchape usijali, hatukujudge
Hapo juu, hapo juu, hapo juu
Usijali, hatukujudge
Hapo juu, hapo juu, hapo juu
Mchape usijali, hatukujudge
Hapo juu, hapo juu, hapo juu
Usijali, hatukujudge
Hapo juu, hapo juu, hapo juu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Hapo Tu Parody (Hapo Juu) (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PADI WUBON
Kenya
Padi Wubonn is a famous Kenyan based Comedian,Mc, actor,script writer,film director, song writer, gy ...
YOU MAY ALSO LIKE