Home Search Countries Albums
Read en Translation

Aluta Lyrics


Yeah yeah yeah, ah Aluta
Exray,  Aluta
Gwaash eeeh, Aluta
Ochungulo, Aluta

Nipate baze na maboyz tumechill 
Tunakata mizinga Aluta
Na madem wakikam nayo nayo 
Tunakuanga girimba Aluta

Na mawetete wetete 
Boss utabaki umelola Aluta
Tuko jing' na ma jong' 
Na mafans wanazoza Aluta

Ati form zi hukam ni Aluta
Ati rieng za ponyoto ni mafuta
Shikisha njiti ndo uingize ngeus chupa
Uliza Gwaash siye uwabeba na mashuka
Leta storo ndio nikuchome kibonus
Ng'orea odi ndio nikushow ukiponwa

Rungu yangu si utabaki ukishonwa
Mpige munju ndo ashikwe na homa
Hii ni tension nahitaji kuseti
Mangeus wako wengi nahitaji kumedi
Bash ni ya waras sijui nikuwe kipedi
Ka una usoro sijui nikuweke pending

Bash iko fine juu ifike wikendi
Hawa wasupa wote nawapiga parking
Sina ndai nilipoteza car keys
Ngeus hako jaba na anadai sijui french kiss

Nipate baze na maboyz tumechill 
Tunakata mizinga Aluta
Na madem wakikam nayo nayo 
Tunakuanga girimba Aluta

Na mawetete wetete 
Boss utabaki umelola Aluta
Tuko jing' na ma jong' 
Na mafans wanazoza Aluta

Aluta, Aluta
Leo mpaka Aluta
Aluta, Aluta
Zimeshika Aluta

Aluta, Aluta
Leo mpaka Aluta
Aluta, Aluta
Zimeshika Aluta

Oya washa tukiburn, zilipuke ka Saddam
Jicho nyanya tunagang tunakaa taliban
Mwita ka ni fan apewe keg tu na jug
Roho sewe na maddam usifuate Babylon
Switch position kaniendeshe ka Nissan
Kesho nitaenda kanisani 
(Father give me permission)

Call Polisan 
Nitajipata Aga Khan
Nina damu ya Oliver Khan
Kunitackle ni haram

Shoot to di sun 
Si lazima ukuwe na gun
Fanya sa ile uko young
Chorea stori za makwang'

Stick to the plan 
Niko loyal tu kwa fam
Ka ni form ya doh nitakam
Ka ni vajo nita cum

Yes kadunda, aah kadunda
Aaah kadunda, aah kadunda
Yes kadunda, aah kadunda
Aaah kadunda, aah kadunda

Nipate baze na maboyz tumechill 
Tunakata mizinga Aluta
Na madem wakikam nayo nayo 
Tunakuanga girimba Aluta

Na mawetete wetete 
Boss utabaki umelola Aluta
Tuko jing' na ma jong' 
Na mafans wanazoza Aluta

Aluta, Aluta
Leo mpaka Aluta
Aluta, Aluta
Zimeshika Aluta

Aluta, Aluta
Leo mpaka Aluta
Aluta, Aluta
Zimeshika Aluta

Aluta Aluta
Dem yangu ana mathutha
Tulikuwa tumehata hii vibe
Ghapuka to the world lazima
Hii round tutashine
Si uficho tutarise
Si uficho mtalike

Nelly hii beat imetouch(touch)
Walisema we ndio goon 
Nikikuja kwenye hood
Cheza chini tuwaroge
Cheza chini hii ni ngori
Hii najua mayut watafyam

Mimi hushikisha bila tools
Wanajua mimi ni Veteran
Iwe giza, iwe sunny, iwe kangeta
Bado katagwara wi wi wi winch

Alejandro niko juu ka ndege
Nilijam nikabuy tu ndege
Ndio nifanye bash moja genje
Ruka kwa jacuzzi ndo tutoe njeve

Breakfast ni dry, fry na sembe
Most viewed ni mangwati tu za tene
Bodyguard wangu wote ni malele
Wanadai nawabeng' kama champe

Mi nu hitman wakugondi tenje
Last week nilifuliza na unye
Wakatry kunicapture na menje
Alejandro nikigame makmende

Aluta, Aluta
Leo mpaka Aluta
Aluta, Aluta
Zimeshika Aluta

Aluta, Aluta
Leo mpaka Aluta
Aluta, Aluta
Zimeshika Aluta

Aii, What a gwan
 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Aluta (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

OCHUNGULO FAMILY

Kenya

Young Kenyan artistes are out to make good music and spread the wave. Nelly the Goon, Dmore and  ...

YOU MAY ALSO LIKE