Nakuhitaji Lyrics
Thankyou God for keeping on
Giving me blessings
Bila hata kipimo
Goodness and mercies
Thankyou God for keeping on
Showing me blessings
One thing I'm always sure of
Nakuhitaji
Nakuhitaji, nakuhitaji
Nakuhitaji, nakuhitaji
Mungu baba naomba ruhusa nikueleze
Vile umenijenga
Midomoni mwa mamba ukanitoa virahisi
Hujawai nilenga
Ulinipenda tu nilivyo mwana wako
Na dhambi zangu hukunikulia vako
Nikiteleza unanisako kwa bako
Kila nilicho nacho daddy ni chako
Thankyou God for keeping on
Giving me blessings
Bila hata kipimo
Goodness and mercies
Thankyou God for keeping on
Showing me blessings
One thing I'm always sure of
Nakuhitaji
Nakuhitaji, nakuhitaji
Nakuhitaji, nakuhitaji
Ukiniahidi wewe hutimiza
Tena tu zaidi we hunifunza
Nikijitahidi we utanituza
Nakupenda daddy sitakuangusha
Ulinipenda tu nilivyo mwana wako
Na dhambi zangu hukunikulia vako
Nikiteleza unanisako kwa bako
Kila nilicho nacho daddy ni chako
Thankyou God for keeping on
Giving me blessings
Bila hata kipimo
Goodness and mercies
Thankyou God for keeping on
Showing me blessings
One thing I'm always sure of
Nakuhitaji
Nakuhitaji, nakuhitaji
Nakuhitaji, nakuhitaji
Nakuhitaji, nakuhitaji
Nakuhitaji, nakuhitaji
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nakuhitaji (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE