Birthday Song Lyrics
Leo siku... Leo siku... Leo
Leo siku... Leo siku... Leo
Leo siku yetu
Leo siku yako ya kuzaliwa
Kula na kunywa na kusazamaa
Leo niiteni mheshimiwa
Pamba freshi marashi nimejaa
Mahater wako pale kwenye kona
Macho pembeni wakitazamaa
Ila usiogope choma picha
Kesi baadae hesabu lawama
[Chorus]
Don't be crying on your birthday mama
Tell them it’s your birthday
Stay away from bad vibes and all the drama
Tell them it’s your birthday
Go ahead and dip it low
Drop it low for your homeboy mama
Tell them it’s your birthday
Do what you wanna and be who you wanna
Forgive and let the karma… karma
Manigga wangu wako hapa nyuma
Ukileta shida utapigwa foul
Wengine mavela wengine jaba
Wengine zote wamezichanganya
Mamanzi wenyu wanatusorora
Ukikaa vibaya tunapita nao
Nviiri baby bado Storyteller
Universal charger striker number nine
[Chorus]
Don't be crying on your birthday mama
Tell them it’s your birthday
Stay away from bad vibes and all the drama
Tell them it’s your birthday
Go ahead and dip it low
Drop it low for your homeboy mama
Tell them it’s your birthday
Do what you wanna and be who you wanna
Forgive and let the karma… karma
[Khaligraph Jones]
Yoh! Leo katashika ni birthday
Umejipuliza marashi babe
Waresh watajipa, I must say
Bash inafaa ianze afte
Mwendo yetu aste aste
Hakuna teke usinirush, wait
Mbogi wanawika wako thirsty
Nviiri ashafika na liquor na ashtray
Ambia soldier nitabuy chai
Acheze chini chocha haifai
Bien naskia ushawai ngwai
We finna kick it like Muay Thai
Oh my… oh my guy
Niko high right now why lie
Acha niingie IG saa hii saa hii
Wapi hio password ya WiFi?
Sikufichi warazi pia they be feelin’ it on the low
Kiki ‘Tutaki peleka udaku bongo bro
Muziki Tunazitoka utadhani ni dombolo
Is vipi? Nawacheki kama ditch na mongolo
Kwa mikono nimeshikilia tumbler
Gari nimekuja nayo pia ni wrangler
Game chafu kama nywele ikona dandruff
No wonder mi nafuatwa na kina Sandra
Akina Njoro pale wako juu ya handas
Hii party jo kuna vile inabamba
Birthday boy nimewapigia pamba
Tunachanganya mugithi na ohangla
Eh omera, okinyal chanda
Tuko Ronga nimeshikilia number
Kenya, Uganda, TZ to Rwanda
Rada ni blanda inakata ka panga
Mamacita napenda hio sianda
Haina haja ushinde ukimianda
Kuja nikununulie shamba
Birthday boy lazima kujigamba
Jones!
[Chorus]
Don't be crying on your birthday mama
Tell them it’s your birthday
Stay away from bad vibes and all the drama
Tell them it’s your birthday
Go ahead and dip it low
Drop it low for your homeboy mama
Tell them it’s your birthday
Do what you wanna and be who you wanna
Forgive and let the karma… karma
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Birthday Song (Single)
Copyright : (c) 2021 Sol Generation.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NVIIRI THE STORYTELLER
Kenya
Nviiri the Storyteller (real name Nviiri Sande) is a Singer-Songwriter, Guitarist, Performer an ...
YOU MAY ALSO LIKE