Tanga Lyrics
Ukishuka jizungushe taratibu nikupokee
Jidekeze ka toto la kitanga, nikuwekee
Ukishuka jizungushe taratibu nikupokee
Jidekeze ka toto la kitanga, nikuwekee
Naskia watoto wa Kitanga wanavisanga, aah
Na kama wako sawa niambie nitie nanga, njoo
Basi najipanga, tuingie Tanga, nionyeshe viwanja
Border tushazivuka vuka
Nataka mzuri wa kunituliza roho
Sio mwenye hasira asije kunitoa roho
Tunda langu sio kila mmoja anapiga
Tabia nzuri sio kila kitu anaiga
Awe na siri sio kila stori anapiga
Kua na aibu mami usikue na ujinga
Ukitaka date usikuje na kirendende
Mimi ni mgenge nge
Nataka nikuseti nataka nikupendende
Zile za kigengenge
Ukishuka jizungushe taratibu nikupokee
Jidekeze ka toto la kitanga, nikuwekee
Ukishuka jizungushe taratibu nikupokee
Jidekeze ka toto la kitanga, nikuwekee
Mi na wewe, naona tukikaa poa
Naona tukifunga ndoa
Mi na wewe, naona safari kule doa
Kataa hukai poa
Kitoto kizuri cha Tanga chataka mate
Tuskize genge tu ndethe maji tukate
Wanafiki watucheki mpaka wadate
Jilegeze basi asante
Mali ni yangu vitu ni zako
Si uwe wangu na usinivako
Kwaheri Tanga waage Bye bye
Karibu Nairobi mji wa Kimasai
Ukitaka date usikuje na kirendende
Mimi ni mgenge nge
Nataka nikuseti nataka nikupendende
Zile za kigengenge
Ukishuka jizungushe taratibu nikupokee
Jidekeze ka toto la kitanga, nikuwekee
Ukishuka jizungushe taratibu nikupokee
Jidekeze ka toto la kitanga, nikuwekee
Karibu Nairobi, nikupeleke dunda
Zile maraundi mwenda
Tukatike ma odi, genge zikiturunda
Kwasa kwasa kirunda
Nikupeleke kwetu mamangu akuone
Ajue wewe wafanya moyo upoe
We huna sumbua na hutumii mikorogo
Unajijua na huna heshima ndogo
Eeh walai we tu ndio unafaa
Umewazidi tabia mwenendo by far
Ukitaka date usikuje na kirendende
Mimi ni mgenge nge
Nataka nikuseti nataka nikupendende
Zile za kigengenge
Ukishuka jizungushe taratibu nikupokee
Jidekeze ka toto la kitanga, nikuwekee
Ukishuka jizungushe taratibu nikupokee
Jidekeze ka toto la kitanga, nikuwekee
Mi na wewe, mi na wewe
Mi na wewe, mi na wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Tanga (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NONINI
Kenya
Born Hubert Nakitare in 2nd October 1982 in Nairobi’s, Nonini is a rapper, performer, producer ...
YOU MAY ALSO LIKE