Simama(cover) Lyrics

Nimo Gachuiri - Simama cover lyrics
Ooooh, ooooh
Ooooh, ooooh
Nimekuwa chini sitabishana
Sitabishana
Lakini kwa jina la Yesu nasimama
Oooh oooh oh
Na pesa ipotee
Na watu wanitokee
Kwa jina la Yesu nasimama
Oooh oooh oh
Nimeng'ang'ana kwa bidii
Maneno ya wenzangu sisikii
Kwa maisha
Mungu wangu unanitosha
Nimeng'ang'ana kwa bidii
Maneno ya wenzangu sisikii
Kwa maisha
Mungu wangu unanitosha
Me nasimama
Ninasimama
Ninasimama
Kwa jina la Yesu nasimama
Me nasimama
Ninasimama
Ninasimama
Kwa jina la Yesu nasimama
(Aaah...)
Ooooh, ooooh
Ooooh, ooooh
Nilipata taabu dunia
Ilipo nisukuma kwa kona
Nilipata taabu,
Nikaona kujitoa uhai ndo bora
Mungu wa Abrahamu
Alijitokeza mwenyewe tu
Akaniambia mwanangu usijali
Niko na wewe
Ata wanadamu
Wakiniangusha nibebe tu
Oooh sitajali nipo salama
Nikiwa na wewe
Nimeng'ang'ana kwa bidii
Maneno ya wenzangu sisikii
Kwa maisha
Mungu wangu unanitosha
Nimeng'ang'ana kwa bidii
Maneno ya wenzangu sisikii
Kwa maisha
Mungu wangu unanitosha
Me nasimama
Me nasimama
Me nasimama
Kwa jina la Yesu nasimama
Me nasimama
Me nasimama
Me nasimama
Kwa jina la Yesu nasimama
Me nasimama(simama)
Me nasimama(simama)
Me nasimama(simama)
Kwa jina la Yesu nasimama
Me nasimama(simama)
Me nasimama(simama)
Me nasimama(simama)
Kwa jina la Yesu nasimama
Starboy...
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Simama(Cover) (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NIMO GACHUIRI
Kenya
Nimo Gachuiri is an artist from Kenya. She is the wife of Mr Seed. ...
YOU MAY ALSO LIKE