Home Search Countries Albums

Rizla Freestyle

NATTY

Rizla Freestyle Lyrics


17 flexxing on everybody
Yoh siwezi bonga sana shh na sssh
Walizama kwa hii rizla
Sai niko magode mashada 
Na bado kejani mi huset mambichwa

Tuliwaeka lockdown, lockdown
Morio alihepa akajipata kanisa
Saa tisa na ibada iko active
Ching hadi morio ashikwe na seizure

Mi hukuwa on toes niko opp block
Ka empire na ndom
Niko na morio aliseti cham kibao
Hakuona hadi rithe ikikuom
Skrr pah scramble kwa ploti

Jaba imekatika hakuna haja ya njoti
Hizi sides ni mang'aa 
Ka ni mbleina kataa
Me hukuja na videvu na si ndondi

Nakumbuka hio day ni kama ni jana
Vile morio alikuja sana
Nilimake it rain  na mi si Rihanna
Uyu alidai kunipiga makata

Atoke kejani nada kudinyana
Nadai kuzimana
Morio aliona GTA akadai kuitana
Lakini iii blade iko dryspell
Ako wapi ule morio alisema tusipatane?
Sahii ako offline kwenu ni Karen
Sijui mbona unarep namba nane

Dem alikuwa shoulder knees and toes
We ulikuwa shoulders whip na mabare
Morio anaforce hawezi vuta ndom
Na kejani amejaza tu mangale

Matumbo iko on incase hio ganji imake
Bro alisema dip hio neck
Izi stakes ziko high we don't make mistakes
(Izi stakes ziko high we don't make mistakes)

Bado ilikuwa mi na gang nzima
I don't wanna be broke tukahop ndani ya Benz
Mmmh aye (Kweff his dead)
Nikisema tumpate jo tunampata
Hakuna haja ya planning

Different strokes game ni same
Huyu amejaza pupa si Fally
Umekuwa bench line-up ni same
Bado tuko magode na hatujai kuwa ma addict

Miaka ka kumi na unadai fame
Kwani umeanza hizo form za adric
Nilicount hizi ganji from way back
Ujue hii ni routine
Chain imeenda gang and fro
Na bado umadhani uko unique
Si nlikushow hawa madem hupenda tu form
Na chai ya saa kumi itabaki kwa street
Kwanza usinishow bado sssh 
Hubonga next time nikimuona nitamuacha akibleed

Mi hukuwa on toes niko opp block
Ka empire na ndom
Niko na morio aliseti cham kibao
Hakuona hadi rithe ikikuom
Skrr pah scramble kwa ploti

Jaba imekatika hakuna haja ya njoti
Hizi sides ni mang'aa 
Ka ni mbleina kataa
Me hukuja na videvu na si ndondi

Siwezi bonga sana shh na sssh
Walizama kwa hii rizla
Sai niko magode mashada 
Na bado kejani mi huset mambichwa

Tuliwaeka lockdown, lockdown
Morio alihepa akajipata kanisa
Saa tisa na ibada iko active
Ching hadi morio ashikwe na seizure

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Rizla Freestyle (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NATTY

Kenya

NATTY  also known as Rong Rambo is an artist/producer from Kenya, a member of Kenyan drill ...

YOU MAY ALSO LIKE