Kamnyweso Lyrics

Lalala lala Lalala lala
Oooh Eeeh Mmmh
Nikikosa hii kitu najiona niko duru
Nikiikosa najiona niko zoba
Nikikosa hii kitu najiona kama sio mimi ( Sio mimi )
Ah Ah Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Mama Kamnyweso ( Kamnyweso )
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso)
Ah nikilewa zinashuka
Mh yanipanda mizuka
Waiter hebu muite chief cooker
Mana kunywa bila kula ntaumbuka
Wengine wanaita inzoga
Wengine wanaita mtungi
Mtungi uwo mtungi uwo ( Mtungi uwo mtungi uwo )
Unanipa vibe mtungi uwo ( Mtungi uwo mtungi uwo )
Haiyaa mtungi uweo mtungi uwo ( Mtungi uwo mtungi uwo )
Unaniondoa aibu mtungi uwo ( Mtungi uwo mtungi uwo )
Ah Ah Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Mama Kamnyweso ( Kamnyweso )
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE