Mr Heartbreaker Lyrics
It's the Melanin Queen iyee
Sikujua, sikujua
Kwa kukupenda ningejipoteza
Tazama sasa najitembeza
Kwa vile ulivyonitenda
Raha kwako karaha kwangu
But you don't seem to get
Raha kwako karaha kwangu
But you don't seem to get
Nenda kawapende wanaodai kukupenda, aaah
Yangu nilikupa lakini vyote ukavitupa, aah
Shida zitakusonga utaja nitafuta
Penzi nilokupa hautalipata
Dharau zako ndogo ndogo hautaepuka
Meza watema wewe kaka dunia itakufunza
Mr heatbreaker aah, Mr heatbreaker aah
Uliniahidi hutaniacha
Nilikudhamini shida na mimi
Nilidhani utafanya ulichosema kunipenda
Lakini sasa umeniacha upweke mi, upweke mi
Nenda kawapende wanaodai kukupenda, aaah
Yangu nilikupa lakini vyote ukavitupa, aah
Shida zitakusonga utaja nitafuta
Penzi nilokupa hautalipata
Dharau zako ndogo ndogo hautaepuka
Meza watema wewe kaka dunia itakufunza
Mr heatbreaker aah, Mr heatbreaker aah
Kesha nenda zangu, hautanipata
Meza watema, dunia itakufunza
Dharau zako wewe
Hautanipata
Dharau zako ndogo ndogo hautaepuka
Meza watema wewe kaka dunia itakufunza
Mr heatbreaker aah, Mr heatbreaker aah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Chizi (EP)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE