Home Search Countries Albums

Sondeka Part 3

NAIBOI Feat. JABIDII, BEN CYCO , DAVID WONDER

Sondeka Part 3 Lyrics


SONDEKA PART 3 - Naiboi ft Jabidi, Didiman, Ben Cyco, Maluda & David Wonder

Tunasondeka, iyee tunasondeka
(Oooh Halleluyah)
Tunasondeka, iyee tunasondeka
(We do it for the Father)
Tunasondeka, Tunasondeka
(Let them know, let them know)
Tunasondeka, eeeh, sondeka

[Jabidii]
Unagive it all your all alafu unalipwa na 
God Bless you, you are going far
Tunasondeka, learn ku appreciate 
Alafu hukua number tutakeep in touch

Unapatana na mshirika ameshika kishash
Pastor kwa bash na peddy kwa church
Cheki, hizo tabia zimeboeka
Tuna, riswa, tunasondeka

Hakujagi church kupraise anakujanga kuona Njeri(Tunasondeka)
Ana church Dago lakini form za kulewa na Jeri(Tunasondeka)
Why you are doing it like that?
Maisha finje finje like that(Tunasondeka)
Why you are doing it like that?
What you give is what you get right back(Tunasondeka)

Keep on living lie, God atakutema kama waru moto
Mdomo ya mtoto, hotter
This one ni moto, can cool with water
Sondeka ni moto

Tunasondeka, iyee tunasondeka
Ikileta noma
Tunasondeka, ooh Lord tunasondeka
Tunarekebisha 

[Didi Man]
Shetani kunichezeanga picky ponkie
Ukichokesha chokesha, mimi si donkey
Mimi sitaki utiriri, sitaki mikosi
Form zake haziwezi so, tunasondeka

Ati uko na kigonyi utadharau mafan
Na mamorio hawakuoni toka Dec hadi Jan
Tunasondeka sondeka, tabia zimebondeka
Umechokesha wathii soo..(We Give Up)

Kama ball imetoboka, wacha pressure cheza chini
Itabidi utushow kama ni Yesu ama jini
Unatuchanganya na tabia za kiganga
Hatukuoni fiti bro(Tunasondeka)

[Ben Cyco]
Kama mziki ni lazima ufwatwe na kiki(Tunasondeka)
Una maringo hutako kuona shabiki(Tunasondeka)
Huwezi kuja kuja bila Uber buda, jina lako biggie
Na ukikuja kuja, microphone unaletewa kwa kiti

Aii bro, husomangi Bible
Unaweka ngoma shala Yesu kama title 
Hi bro, jina langu Cyco
Tunasondeka maneno this is a revival

Tunasonde, tunasondeka ah-ah-ah
Kila Sunday, bila kuboeka ah-ah-ah

Tunasondeka, iyee tunasondeka
(Oooh Halleluyah)
Tunasondeka, iyee tunasondeka
(We do it for the Father)
Tunasondeka, Tunasondeka
(Let them know, let them know)
Tunasondeka, eeeh, sondeka

[Maluda]
Naskia wakisema gospel iko chini ati hatutoshi mboga(Tunasondeka)
Bado tuko fiti uliza Naiboi vile ngoma zetu bado bomba(Tunasondeka)
Pastor Ng'ang'a anajichocha anaheal kumbe pale hakuna kitu(Tunasondeka)
Mi na-think anatupima buda twende pale tukacheki nini issue(Tunasondeka)

Unasema umeokoka, kumbe chini ya maji buda unapiga miti(Tumeboeka)
Utajipata uko solo njeve ikikupiga ukitingika kwa kiti(Tunasondeka)
Willy Paul alitusare lakini bado tunatambua huyu Yesu(Tunasondeka)
Sina noma mi natrust atarudi basi atukuze huyu Yesu(Tunasondeka)

Huwezi pata dem kabla pastor hajakupa gumba(Tunasondeka)
Wanadai usiende Eastlands katiwa na mtu ako Runda(Tumeboeka)

Tunasondeka(bado), tumeboeka(bado)
Tunasondeka(bado), tumeboeka

[David Wonder]
So so, ma brother husondeka mahali kanisa imebondeka(Tunasondeka)
Imekuwa ni long long time ni maajabu tunawaonyesha(Tunasondeka)
Oooh mimi sitaki kuchomeka(Tunasondeka)
Ndo maana dhambi mbali weka(Tunasondeka)

Imekuwa ni long long time ni maajabu tunawaonyesha
Yaani bado hujaoleka na unafanya naye nini?
Na marafiki unawasengenya chini chini
Tunaelekea wapi siamini

Tusiposondeka, roho ikikataa imekataa(Bado)
Ah not unless ni ya makaa(Bado)
Wakisimama nitakaa(Nipambane nao)
Zimbaka zimbaka zo(Sondeka) 

Tunasondeka(bado), tumeboeka(bado)
(Oooh Halleluyah)
Tunasondeka(bado), tumeboeka(bado)
(We do it for the Father)
Tunasondeka(bado), tumeboeka(bado)
(Let them know, let them know)
Tunasondeka(bado), tumeboeka

Sondeka

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Sondeka Part 3 (Single)


Copyright : (c) 2019 Naiboi Worldwide.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NAIBOI

Kenya

Michael Kennedy Claver, better known as Naiboi, is a recording artist from  Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE