Home Search Countries Albums

Mbinafsi Lyrics


Mbinafsi wewe kila kitu upewe wewe
Mbinafsi wewe kila siku upewe wewe
Wakikuomba msaada unawanyima msaada
Kila kitu upewe wewe
Wakikuomba msaada unawanyima msaada
Kila siku upewe wewe

Oh oh no, kila kitu upewe wewe
Ah ah no, kila siku upewe wewe

Sikupi hakuna, hatukupi hakuna
Hakuna msaada hatukupi hakuna 
Sikupi hakuna, hatukupi hakuna
Hakuna msaada hatukupi hakuna 

Hatukupi wewe, hatukupi wewe 
Hatukupi wewe, kila siku upewe wewe

Tukikuomba hutoi msaada
Lakini wewe wataka msaada kwetu
Ukiombwa hakuna msaada
Lakini wewe wataka vya watu

Sikupi hakuna, hatukupi hakuna
Hakuna msaada hatukupi hakuna 
Sikupi hakuna, hatukupi hakuna
Hakuna msaada hatukupi hakuna 

Hatukupi wewe, hatukupi wewe..iii 

Mbinafsi wewe kila kitu upewe wewe
Mbinafsi wewe kila siku upewe wewe
Wakikuomba msaada unawanyima msaada
Kila kitu upewe wewe
Wakikuomba msaada unawanyima msaada
Kila siku upewe wewe

Oh oh no, kila kitu upewe wewe
Ah ah no, kila siku upewe wewe

Sikupi na hatukupi na 
Sikupi wewe, sikupi wewe
Hatukupi na, sikupi na 
Hatukupi wewe....
Kila kitu upewe wewe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : 20 (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LADY JAYDEE

Tanzania

Lady Jaydee also known as Binti Machozi, real name Judith Wambura is a recording artist from Tanzani ...

YOU MAY ALSO LIKE