Furahi Lyrics

You're my medicine
Aii baby
Ukiwa karibu yangu nahisi nimepona tu
Why, lie, lie lie lie
Why lie ukiwa mbali naugua ugonjwa wa mapenzi tu
What did I do to deserve your love
Your love eh
Moyo wangu umejazwa na your love
Your love eh
What did I do to deserve your love
Your love eh
Moyo wangu umejazwa na your love
Your love eh
Nikiwa nawe nafurahi, aah nafurahi
Nikiwa nawe najidai, aah najidai
Nikiwa nawe nafurahi mama, aah nafurahi
Nikiwa nawe najidai, aah najidai
Hawataki niwe na wewe, oooh na wewe
Hawataki niwe na wewe, oooh na wewe
Lakini unanipa kiwewe, eeh baby
Ni wewe unanipa kiwewe, eeh darling
What did I do to deserve your love
Your love eh
Moyo wangu umejazwa na your love
Your love eh
What did I do to deserve your love
Your love eh
Moyo wangu umejazwa na your love
Your love eh
Nikiwa nawe nafurahi, aah nafurahi
Nikiwa nawe najidai, aah najidai
Nikiwa nawe nafurahi mama, aah nafurahi
Nikiwa nawe najidai, aah najidai
Why, lie, lie lie lie
Why lie ukiwa mbali naugua ugonjwa wa mapenzi tu
Why, lie, lie lie lie
Why lie ukiwa mbali naugua ugonjwa wa mapenzi tu
Nikiwa nawe nafurahi, aah nafurahi
Nikiwa nawe najidai, aah najidai
Nikiwa nawe nafurahi mama, aah nafurahi
Nikiwa nawe najidai, aah najidai
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Black Child (Album)
Copyright : (c) 2021 Starborn Empire.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MR SEED
Kenya
MR SEED real name Moses Tarus Omondi is a recording and performing gospel artist fro ...
YOU MAY ALSO LIKE