Pombe na Muziki Lyrics
Okey tunahesabu eh
Moja, mbili, tatu, twende
Nje kuna dem ndani kuna dem
Kwenye gari kuna dem najigawa vipi?
Mkono moja glass, mkono mmoja nyasi
Na vidole vina kazi nitawanawa vipi?
Bia nitachota kwa bomba
Sawa, dawa chalanga nanyonga
Sawa, pembeni mwanamke nyonga
Huku kumenoga napagawa chizi
Ah warembo wa mapambo wamechorwa
Bwana stand mambo unaporwa
Duu inaitwa nguvu ya dollar
Kila hatua naiona nguvu ya Mola
Hakuna sikukuu, sikukuu ni hii leo
Lenga matawi ya juu life kwa kideo
Ushapiga kimeo, ushapiga kileo
Hili jasho la jana napiga matokeo
Wowowo, pata nipate, pata nipate
Raha nifuate, taabu niache
Hautapata muda wangu walahi niape
Walahi wa bilahi utaniona mara chache
Kazi starehe nakula vizuri muda
Nisipofanya kazi nitakulaje uri buda
Mziki kwenye damu kiburi vunga
Hizi baraka za mama na Mungu, fedhuli kunja
Tukinywa pombe tunacheza muziki
Bila ya pombe hatuchezi muziki
Muziki, pombe na muziki
Muziki, pombe na kijiti
Muziki, pombe na muziki
Muziki, pombe na kijiti
Nikila mitungi lazima cigarette
Nachanganya mirungi na chakila yes
Natimua vumbi Vanny Boy
Nakomesha vikundi Country Boy
Nikilala blues nikiamka maraga raga
Mr Maujuzi nanuka malager lager
Mzuka umelipuka natupa mazaga zaga
Nabaki na bukta na rukali hakunaga
Nikichima wida nigongeeni reggea
Wacha waoane Chigunda Chege
Nimeshiba Zege Bongo Hiphop twende
Nikilewa mbege nacheza kama mbwege
Aslay baba nibebe, TID baba mazeze
Okey pombe ziongezwe, okey okey
Nandy ninogeshe wewe
Mambo iko huku Mr Dj nichomeke Zouk
Huku tunagawana kuku
Tukigawana kuku tunagawana ruzuku
Kisha na mapombe mpaka chupa ziwe tupu
Asubuhi supu, sio supu tu, supu ya kuku
Kazi starehe nakula vizuri muda
Nisipofanya kazi nitakulaje uri buda
Mziki kwenye damu kiburi vunga
Hizi baraka za mama na Mungu, fedhuli kunja
Tukinywa pombe tunacheza muziki
Bila ya pombe hatuchezi muziki
Muziki, pombe na muziki
Muziki, pombe na kijiti
Muziki, pombe na muziki
Muziki, pombe na kijiti
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Pombe na Muziki
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MR BLUE
Tanzania
Khery Sameer Rajab popularly known as Mr Blue, is a Tanzanian RnB and Bogo Flava musician born on Ap ...
YOU MAY ALSO LIKE