Nakuita Lyrics

Yeiye eeh
Street Icon
Na mo Track Tenaa
Yani najuta aah
Majuto mjukuu mwezako leo yamenikuta aaah
Tena naumbuka napata tabuu kiwete ndio ivyi najikongojaa
Na kinachonitesa ni mazoea
Kichwani ndo ungoki nishakuzoea
Wamesha tia kambi wameingia
Wameingia ooh weee
Kisa unajua sijiwezi ndo unafanya kusudi iliniumie
Rudi unifute machozii mh
Basi hima nikuone njoo njoo
Au unataka njoo njoo
Labda ushampata mwingine njo njoo
Ebu kuja mi uniponyee mmh
Nakuitaa ah aah
Ooh babie shene twipa twisera
Zshe bonaikwa twi sheriii aah Oooh
Yani haupoi haupoi moyo wangu
Kwa kiza kinene umeniacha umeniacha pekee yng
Walai sitoboi ndo usharuka ndege wangu
Upweke unanitesa rudi tena furaha yangu
Na kinachonitesa ni mazoea
Kichwani ndo ungoki nishakuzoea
Wamesha tia kambi wameingia
Wameingia ooh weee
Kisa unajua sijiwezi ndo unafanya kusudi iliniumie
Rudi unifute machozii mh
Basi hima nikuone njoo njoo
Au unataka njoo njoo
Labda ushampata mwingine njo njoo
Ebu kuja mi uniponyee mmh
Nakuitaa ah aah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Monter Bwoy
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE