Pekee Yangu Lyrics

Ye ye ye ye
Ni shorti baba
(Teddy B)
Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu
Kukichacha mnanichanua(heehe), siko peke yangu
Iye iye! iye iye eeeh, siko peke yangu
Iye iye! iye iye eeeh, siko peke yangu
Ni baba iyo, baba iyo, ni wewe unijuae
Eeh eeh na sihitaji jeshi, ni wewe unilindae
Eeh baridi ikizidi, ni wewe uniufunikae
Wewe ndio nuru gizani, inimulikae(iye iye)
Kukikauka baba wee, sikosi maji(maji)
Wakifunga baba wee, sikosi kazi(iye iye)
Wakinishusha baba wee, wanipa kazi
Wakifunga baba wee, sikosi kazi(iye iye)
You're high, I am not alone
Oya siko solo, yuko nami baba yo
Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu
Kukichacha mnanichanua(heehe), siko peke yangu
Iye iye! iye iye eeeh, siko peke yangu
Iye iye! iye iye eeeh, siko peke yangu
Eeh mangapi umetatua
Uko nami kila hatua
Wanafunga milango nikose
Ukuta unapasua eeh
Umeweza, mbele yao unaandaa
Unaweza, hata wengine wakikataa
Maisha umechora, hawawezi kunipora
Uko nami kwa moto baba yo
Kwako sita ora
Maisha umechora, hawawezi kunipora
Uko nami kwa moto baba yo
Kwako sita ora
You're high, I am not alone
Oya siko solo, yuko nami baba yo
Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu
Kukichacha mnanichanua(heehe), siko peke yangu
Iye iye! iye iye eeeh, siko peke yangu
Iye iye! iye iye eeeh, siko peke yangu
Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu
Kukichacha mnanichanua(heehe), siko peke yangu
Iye iye! iye iye eeeh, siko peke yangu
Iye iye! iye iye eeeh, siko peke yangu
Siko peke yangu, (iye iye)
You're high, I am not alone
Oya siko solo, yuko nami baba yo
Mungu akipanga mna pangua, siko peke yangu
Kukichacha mnanichanua(heehe), siko peke yangu
Iye iye! iye iye eeeh, siko peke yangu
Iye iye ooh! iye iye eeeh, siko peke yangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Peke Yangu (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MOJI SHORTBABAA
Kenya
Moji Shorbaba is a Kenyan gospel artist from Kelele Takatifu which consist of Didi & Moji Shortb ...
YOU MAY ALSO LIKE