Home Search Countries Albums

Tetanus

NDOVU KUU

Tetanus Lyrics


Ey si tuko mboka, mboka
Ndovu kuu kwa screen hamwezi nitoka, toka
Nina dem Mkisii anaitwa Kwamboka, mboka
So my Ex can see vile nimeomoka

Alafu naskia kuna vile Pamela aliokoka, koka
Anachai kwa church kuwachezea poker, poker
Ushaiona cocktail ya panya na nyoka, utachoka
Walitry kutudim hivo tulitoka, ogopa

Chali yako ako CRB na unaringa
Aki walai ni mjinga
Bishana na ndovu kudenki
Buda mi hudenki huwezi nipinga

Msupa ni dinga
Nyuma ni bata mzinga
Apps mi nilikaribishwa
We met when am happy kilalasinga

Pigwa Tetanus, ahaa 
Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja, tetanus
Dawa ya wembe ni moja, tetanus
Vile wanawashwa mdomo ni mingi, dungwa Tetanus 
Opps walitry kututest
Walijua hawawezi mess with us
Sshhh, tulia nikupange, pigwa!

Kiki sikupei, itabidi ujitegemee
Hauwezi fika bei, basi tuliza mehemehe
Kuwaosha everyday hamjawai tulemea
Ushindi tunashindiliii....

Hey unashindwa ni jea
Tunasonga mbele wamekula chea
Wapige kelele but we never care
Mziki ni tele siwezi potea
Ndovu is here mtaniskia
Niko hapa na pale siwezi ishia
Wananipenda huskii wakicheer 
Ndovu ni kuu, mia kwa mia 

Pigwa Tetanus, ahaa 
Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja, tetanus
Dawa ya wembe ni moja, tetanus
Vile wanawashwa mdomo ni mingi, dungwa Tetanus 
Opps walitry kututest
Walijua hawawezi mess with us
Sshhh, tulia nikupange, pigwa!

Pigwa Tetanus, ahaa 
Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja, tetanus
Dawa ya wembe ni moja, tetanus
Vile wanawashwa mdomo ni mingi, dungwa Tetanus 
Opps walitry kututest
Walijua hawawezi mess with us
Sshhh, tulia nikupange, pigwa!

Mboka, mboka
Hamwezi nitoka, toka
Anaitwa Kwamboka, mboka
Vile nimeomoka

Alafu naskia kuna vile Pamela aliokoka, koka
Ah ah ah, aki walai washatujua
Ah ah ah, basi weka mkono juu
Yes you, you, ndovu bado ni kuu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Tetanus (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NDOVU KUU

Kenya

Ndovu Kuu  real name Krispah is an artist/producer from Kenya best known for his hitsong & ...

YOU MAY ALSO LIKE