Wa ajabu wewe Lyrics
Ewe mungu wa miungu ume tukuka
Muumbaji wa vyote duniani na mbingu Tunaa kuinamiya
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme Mwenye enzi tunakuabudu
Utukufu na heshima kwako eeh we mungu
Pia nguvu na shukrani kwako ewe mungu
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme Mwenye enzi tunakuabudu
Mtakatifu mwaminifu Tunakuinamia
El-shaddai Adonai Alfa na Omega
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme Mwenye enzi tunakuabudu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2015
Album : Wa ajabu wewe (Single)
Copyright : ©2015
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
MERCY LINAH
Kenya
Mercy Linah is a praise and worship leader,a Recording Artist from Kenya. See runs a qua ...
YOU MAY ALSO LIKE