One Day Lyrics

Kosa langu me kukuçhagua
Ikulu mwili wangu unanisumbua
Nikupe nini ulidhike, yakome masekeseke
Silali niwewesekeeh heeeh ee eeeh!!?
Vidonda vya moyo vibaya, vinanitesa sana,
Kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao
Kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao
huuuuuuuuh Moyo wangu
Only one day ningekuwa kama wale
Tungekuwa saresare kama maisha ya kambale
Tungekuwa saresare kama maisha ya kambale
Nijichane kifuani, nikianike hadharani
Mfupa kwa kiboyo, siwezi kuwa poyoyo
Zile sitaki nataka, pupa haina baraka
Umegeuka kichaka, hifadhi ya takataka
Vidonda vya moyo vibaya, vinanitesa sana,
Kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao
huuuuuuuuh Moyo wangu
hiiiiiiih Nafsi yangu
Only one day ningekuwa kama wale,
Tungekuwa saresare kama maisha ya kambale
Tungekuwa saresare kama maisha ya kambale
Nijichane kifuani, nikuanike hadharani
Mfupa kwa kibogoyo, siwezi kuwa poyoyo
Zile sitaki nataka, pupa haina baraka
Umegeuka kichaka, hifadhi ya takataka
Vidonda vya moyo vibaya, vinanitesa sana
Kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao
Kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao
huuuuuuuuh Moyo wangu
hiiiiiiih Nafsi yangu
Only one day, ningekuwa kama wale
Kama maisha ya kambale eeeeeh
Vitam tamu ndani yake vina sumu, wewe Moyoooh
Mbona una nihukumu
Mbona una nihukumu
Only one day, ningekuwa kama wale
Tungekuwa saresare
Kama maisha ya kambale eeeeh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : MeaConscious
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE