Home Search Countries Albums

Rege

MCA TRICKY Feat. RUEBABY

Rege Lyrics


Tricky tena sana 
Rue Baby na Tricky de, oyaa

Napenda sana mboni
Akothee alizaa mtoi
Unanipendeza pendeza 
Chaguo langu ni wewe

Nakupenda kipenzi
Ata sitaki mwingine
Unanipendeza pendeza 
Chaguo langu ni wewe

Boy kwanza sijakueleza
Sio makosa kunipenda
Niamini I got a right for you
And I'm sure tutaoana

Tukipata tutakula
Tukikosa pia sawa
Nitavumilia beiby
As long as niko nawe

Okey na Migori twenzetu
Tumwone mama, Akothee mama, nampenda sana
Wakipiga domo kwa kusengenya 
Usiku watalala ayayayaya

Kipenzi nakupenda sana
Twende kwa mama, Akothee mama
Wakipiga domo na kusengenya 
Usiku watalala

Maana tuna ooh

Tunapenda rege
Tunapenda rege (Tunapenda)
Tunapenda rege
Tunapenda re Ge! Ge! Ge!

Tunapenda rege
Tunapenda rege (Tunapenda)
Tunapenda rege
Tunapenda re Ge! Ge! Ge!

Watu wako na usoro
Wanapenda tu nikiwa single
Lakini mi ni wako wako
Nitakupa mapenzi ya moto moto

And you better tell them that you're mine
Wangu mtima unakudai
We ni wangu mi ni wako
Wenye fitina na wanyongwe na mihogo

Eeeh baby nakupendaga sana
Nataka unitunzie nyumba
Ooh nitunzie nyumba
Ooh nitunzie nyumba

Kumanga manga niliwachaga
Nataka unitunzie nyumba
Ooh nitunzie nyumba
Ooh nitunzi

Basi beiby Migori twenzetu
Tumwone mama, Akothee mama, nampenda sana
Wakipiga domo kwa kusengenya 
Usiku watalala ayayayaya

Kipenzi nakupenda sana
Twende kwa mama, Akothee mama
Wakipiga domo na kusengenya 
Usiku watalala

Maana tuna ooh

Tunapenda rege
Tunapenda rege (Tunapenda)
Tunapenda rege
Tunapenda re Ge! Ge! Ge!

Tunapenda rege (Tukiwa tu pamoja)
Tunapenda rege (Wanaona)
Tunapenda rege
Tunapenda re Ge! Ge! Ge!
 
Basi baby nikatikie

Kati katika (Kata)
Kati kati katika (Kata)
Mama katika (Kata)
Ooh beiby katika (Kata)

When you hold on to me (Kata)
Unanimada mimi (Kata)
Unaponitosha baby (Kata)
Ooh kata (Kata)

(Westley on the Mix)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Rege (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MCA TRICKY

Kenya

 MCA Tricky is a Kenyan comedian and radio presenter at Radio Maisha. ...

YOU MAY ALSO LIKE