Shifla Lyrics
Alikuja na Uber akarudi kalleser
Ndio alikuwa ananyesha akarudi kalesser
Alikuja na Uber akarudi kalleser
Ndio alikuwa ananyesha akarudi kalesser
Dry jokes na unanyesha
Unaleta ufala kwa hii bash unatepwa
Unadhani kidi yako refu inamezwa
Shifla piga ukatikie kwa meza
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikiisha tutaitisha
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikiisha tutaitisha
So sad unanuka funny
Tukiwa kwa giza niite charly charly
Alafu agiza mfuko nina mali
Twende hadi Nanyuki ukaniite hunny
Charlie Charlie mi nitailink na girly flani
Nadai niwakill na hii flow mentally
Flow ka ni shit flash phone when burny
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikisha tutaitisha
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikisha tutaitisha
Niliamka na hangover nikatoa lock
Jana nilisahau pin ya MPESA nikablock
Ushaiona mayai katikati haina york
Mi ni ule mbaddy kuparty jo sihati
Na kama kuna uradi ujue niko ndani
Mi ukija nikosea ndio maana jo sipigi
Alikula copper ju alifufua jo upini
Mi ukija nikosea ndio maana jo sipigi
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikiisha tutaitisha
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikiisha tutaitisha
Dry jokes na unacheka
Hakuna nyoks huku hizo nyasi nilifyeka
Shawty alipace nikabaki kucheza FIFA
Shifla Harry alizima time nifla
Hujadunga ngotha aje na umedunga dikla
I wanna get high mind nijaze fikra
Nilituma fare jana dems hajafika
Shifla mic nikishika ye huwika
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikiisha tutaitisha
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikiisha tutaitisha
Siku ya kwanza tukikatiana
Tulionana tukanokiana
Ati anaogopa wavulana
Hata mimi beb naogopaga wasichana
Na kwanza kananuka marijuana
Katoto katoto Tiana
Aki haka kana manners
Shame on you uko na bad manners
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikiisha tutaitisha
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikiisha tutaitisha
Kuvuta shisha zishalipuka
Kuvuta ngwai food nishaitisha
Nikichwa ngumu nishaingiza
Na sura ngumu akabakishwa
Buy a dem beer mi nakuibia
Hajakam kwangu but mi nakaribia
Mi huitwa mbuzi but ye huniita dear
Hajafall bado but sai anasinzia
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikisha tutaitisha
I wanna get high tukate shifla
Ita Makena Lissa anatisha
Kuna mizinga tutakatisha
Na ikisha tutaitisha
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Three Wise Goats (Album)
Copyright : (c) 2022 Black Market Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MBUZI GANG
Kenya
Mbuzi Gang is a group of 3 artists; Joefes 254, iPhoolish and Fathermoh from Kenya. Signed ...
YOU MAY ALSO LIKE