Kwa Matope Lyrics

"Aki Please,
Daddy aki please"
Nifanye nini?
"Toa gari kwa gate" Hahahaha
"Daddy toa gari huko nnje"
Okay sawa sawa, tunaenda wapi
"Kwa matope!"
(Safecon Music)
Kwa matope, kwa matope
Kwa matope, kwa matope
Kwa matope, kwa matope
Kwa matope, kwa matope
Ndahunyukite ngiuma kwa waina
Niliparara but sai nimeng'aa
I'm reminded am the salt of the earth
I like tunaheal so siwezi zima taa
Shika kiuno cheza.. ah polepole
Na ikibamba sana eh .. kidole dole
Wakiuliza waambie hakuna ngori ngori
Haturudi kwa matope sorry sorry
Tabia mbaya tumeacha
Mbogi mbaya mimi ah ah
Dhambi nayo tumekataa
Sirudi tena eeh, sirudi tena aah
Kwa matope, kwa matope
Kwa matope, kwa matope
Kwa matope, kwa matope
Kwa matope, kwa matope
Nakumbuka zile days kwa kibanda
Nikimeditate life nikiwonder
Venye life nina struggles ka dimanga
Sai life tu simple kila siku tu napanda
Another tune na watoi wanasifu tu
Another tune na wabuda wanasifu tu
Another tune na wamatha ni kusifu tu
Sir blessings blessings so hivi hurray
Tabia mbaya tumeacha
Mbogi mbaya mimi ah ah
Dhambi nayo tumekataa
Sirudi tena eeh, sirudi tena aah
Kwa matope, kwa matope
Kwa matope, kwa matope
Kwa matope, kwa matope
Kwa matope, kwa matope
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 0
Album : Kwa Matope (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TUGI
Kenya
Tugi is an artist from Kenya. He is the son of Blessed Njugush and Wakavinye (Celestine Ndinda ...
YOU MAY ALSO LIKE