Sijaskia Vibaya Lyrics
SIJASKIA VIBAYA Ft NJUGUSH – fena gitu
Fena na na na mmh
Ata sijaskia vibaya mmmh
Ata sijaskia vibaya
No yoh yoh
Nimeshinda nikiomba khali collabo
Miaka mingi ananiambia mmh bado (bado)
(Ata sijaskia vibaya)
(Ata sijaskia vibaya)
Akanishow rudi studio
Okata kadoh before you call
Jones to be in your video (video)
Ata sijaskia vibaya mmh
(Ata sijaskia vibaya)
Nikamshow you just give me one year
I’ll be ranking shows from the front to the rear
You gonna wish you gave me that chance utalia
(Utaniomba lift in my private lia)
Hehe enyewe nilikuwa nimeskia vibaya
Siku izi me ndo nanyimana collab
Nimepanda bei (bei)
Nimepanda gwan
Wacha waskie vibaya (kabisa)
Wacha waskie vibaya (kabisa)
Sasa me ndo ndo umber one
Boss lady waskie vibaaya
Nimekuwa chini nikihustle
Dail na sina ubaaya (ata sijaski vibaya)
Shikisha kama veve eastleigh
Nawashikisha na manjeve baridi (baridi)
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaya
(ata sijaskia vibaya)
Ohh Wacha waskie vibaya (Humm)
Wacheke na we wakutakie mabaya
Kwangu kila la heri Mungu wangu halali
Wakidhani ntafail Nazi hadi ulaya
Aha napiga luku na swegg hadi ni retire eeh
Najaza buku kwa deni bregi ni fire
Nipate mwisho wa mwezi cheki ni wire
Napiga picha selfie kwa benki na sina haya
Chema chajiuza ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo
Kuuza tutauza ni ya leo, ni ya leo
Nywele paka mafuta (ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo)
Kuuza tutauza (ni ya leo, ni ya leo, ni ya leo)
Sasa me ndo donga number one
Boss lady waskie vibaaya (ata sijaskia vibaya)
Nimekuwa chini nikihustle
Daily na sina ubaya
Nashikisha kama veve eastleigh
Nawashikisha na manjeve baridi
(ata sijaskia vibaya)
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya
(natena, natema, napenda, ni tamu)
Wasikie wasikie, usike , usike, usike mmh, wasikie, vibaaya (kama hema)
Wasikie wasikie, usike , usike, usike mmh, wasikie, vibaaya
(…. Watu watoe jacket, haha juu ya joto)
Mmh Wasikie wasikie, wasikie
Uuh wasikie vibaaya eeh
Fene – na – na na na njuguna na na na na
Uuh me ndo njuguna sijaskia vibaya, haa
Njuguthee, sai umeskia vibaya haa)
Sasa me ndo donga number one
Boss lady waskie vibaaya (uhh)
Nimekuwa chini nikihustle
Daily na sina ubaaya
Nashikisha kama veve eastleigh
Nawashikisha na manjeve baridi
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya
Sasa me ndo donga number one
Boss lady waskie vibaaya
Nimekuwa chini nikihustle daily
Na sina ubaaya Yeye
Nashikisha kama veve eastleigh
Nawashikisha na manjeve baridi (hoiyee)
Kuzidi mtazidi wazidi kuskia vibaaya
Sasa me ni donga
Boss lady wasikie vibaaya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Sijaskia Vibaya (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
FENA GITU
Kenya
FENA GITU aka Fenamenal ( Born April 25, 1991) is a female Singer, Songwriter and Producer ...
YOU MAY ALSO LIKE