Home Search Countries Albums

Wekesa

MASTAR VK

Wekesa Lyrics


Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa
Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa

(Stray Music)
Beat inazoza bana
Afande!

Mi hupenda mandom mangeus na pesa
Dem ana haga natrace nasesa
Kumarinate tukate mizinga
Alafu tushawe na chaser

Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa
Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa

Mi hukuwa nimechizi lakini
Mziki naichapanga ki-uprofessor
Mangeus wananiita Wekesa
Ju ya vile naweka na vile natesa

Niko ndirau na ngeus amebeba
Utadhani anatwerk kalesa
Nawapea ball na bado 
Wanarudi kwangu naipepeta

Nateka wawili wawili
Navuta mashada zishike kushika
Kushinda jo vile nitashika iyo mwili
Ka doba inanyc naichapa na beat
Katambe ni kama injili
Mi nimekafunga nabeba bagiko 
Ka ndani imejazwa mangiri wewe!

Mi hupenda mandom mangeus na pesa
Dem ana haga natrace nasesa
Kumarinate tukate mizinga
Alafu tushawe na chaser

Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa
Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa

Si saba, si nane ni inch tisa
Pongi naichapa hadi juu ya dirisha
Niko kingale kishada kijaba 
Dawa nimechanganyisha

Wafuasi ni wengi jo bana
Hadi siku hizi nadhani niko na kanisa
Mahater na wale warazi 
Wakileta za ufala ninawazamisha

Looku ni safi naua
Bado ile pussy nashika naua
Ye hupenda shada hapendi maua
Utaka bazenga anaeza akamchekesha
Na bado ana rungu mature

Kwa giza akikuja ni ka kuna jua
Nginyo stingo zote si anazijua
Pongi naichapa naichapa naichapa
Hadi nairarua

Mi hupenda mandom mangeus na pesa
Dem ana haga natrace nasesa
Kumarinate tukate mizinga
Alafu tushawe na chaser

Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa
Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa

Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa
Naweka naweka naweka
Denge wako ananiita Wekesa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Wekesa (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MASTAR VK

Kenya

Mastar Vk also known as 'Afande' is one of the hottest rapper in Kenya hailing from Kay ...

YOU MAY ALSO LIKE