Home Search Countries Albums

Ngeus

MASTAR VK

Ngeus Lyrics


Prrrr!
Vile nakata, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Pah Pah)
Vile nawaka, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)

Manze ni twerker, uuuh eey  
Cheki hiyo ngeus(Cheki hiyo ngeus)
Mi nakataka, uuuh eey 
Cheki hiyo ngeus

Vile nakata, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Pah Pah)
Vile nawaka, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)

Vile nakata, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)
Vile nawaka, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)

Kenye anapenda 
Ni vile napenda kucheza na paka
Na vile napaka 
Ndo vile utapata ameshinda amewaka

Mangwelo nawasha
Jirani anadhani ni nyumba imewaka
Ata akinyesha 
Nachapa utadhani ni nginyo ya mwaka

Huyu manzi ni twerker
Ako zabe anashikisha jaba na Fwaka
Ananitoa siaka
Na ye figa na haga ndo kitu nataka

Hataki keja kichaka
Ju ni nguna anapenda kucheza na nyoka
Ameshinda akisaka
Na sasa atapenda vile jo nanyuka

Afande ni rapper
Na bado namada hadi beat ya ghapuka
Niko na makapa
Lazima utapenda jo nikikusuka

Ka chura naruka
Oyah wacha kusuka, pongi inanuka 
We buda umenjanjaruka
Saka ule nguna amefunga hiyo duka

Vile nakata, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Pah Pah)
Vile nawaka, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)

Manze ni twerker, uuuh eey  
Cheki hiyo ngeus(Cheki hiyo ngeus)
Mi nakataka, uuuh eey 
Cheki hiyo ngeus

Vile nakata, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)
Vile nawaka, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)

Manze ni twerker, uuuh eey  
Cheki hiyo ngeus(Cheki hiyo ngeus)
Mi nakataka, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)

Vile nakata, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna

Oyah oyah oyah 
Muhogo imekosa manyoya
Maziwa ya lolo ina soya
Noma ni mimi nina lawyer

Dereva wa Chevy inagonya
Nguna ni photo ikitaka kuponya
Nduru za dingo anapona
Baby nyamaza ni baby unanyonya

Chapa idoz
Nikianza kuchapa hakuna kupause
Touch your toes
Vile naua ni kama ni rose

Cheki huyo ngeus
Haga ina juice crazy na sauce
Rangi si bleaching ya jik ama Toss
Na VK ndo boss 

Wabebe ni ka wamechoka
Wateka hata kama uko mboka
Wachenge ni kama uko soccer
Mashoti ni kama itoka

Inabamba ju vile nafoka
Nikitema kuna poromoka
Kwa shamba nimejaza mogoka
Nimehomoka kijana si joker

Vile nakata, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Pah Pah)
Vile nawaka, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)

Manze ni twerker, uuuh eey  
Cheki hiyo ngeus(Cheki hiyo ngeus)
Mi nakataka, uuuh eey 
Cheki hiyo ngeus

Vile nakata, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)
Vile nawaka, uuuh eey 
Cheki hiyo nguna(Cheki hiyo nguna)

Manze ni twerker, uuuh eey  
Cheki hiyo ngeus(Cheki hiyo ngeus)
Mi nakataka, uuuh eey 
Cheki hiyo ngeus

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Ngeus (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MASTAR VK

Kenya

Mastar Vk also known as 'Afande' is one of the hottest rapper in Kenya hailing from Kay ...

YOU MAY ALSO LIKE