Home Search Countries Albums

Weekendi

CHRIS KAIGA

Weekendi Lyrics


Kaa rada mtu asipite na wako
Wasee wasee kwani form leo ni gani?
Si tuchafue tuharibu bila amani
Ianze home alafu tumalizie westi
Hakuna form basi wasee wako 18

Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi
Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi

Ni sato siwezi kosa mpango
Kusuguliwa tiambo mahips na ma
Kaa rada mtu asipite na wako
Rada design ya karao saa ya msako

Sema huoni manze venye zimeshika
Kila mtu hapa manze ametingika
Hapa na pale drinks zinamwagika
Dere ako maji home hatutafika

Ni saa ngapi hapa ni wapi
Venye we ni msawa chali yako yu wapi
Umenibamba design niko hapi
Na kenye nadai ni ati ukam nami

Niget chance nikubambe kiasi
Mi na we ni ka Genge na Juacali
Nikuchekeshe na mavitu funny
(Nikuchekeshe na mavitu funny)

Wasee wasee kwani form leo ni gani?
Si tuchafue tuharibu bila amani
Ianze home alafu tumalizie westi
Hakuna form basi wasee wako 18

Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi
Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi

Gathee si unajua ole ni ndiwike
Si kashike hadi vidole zikunjike
Mawe ndani ya wallet ni mangire
So kila bash tunaalikwa leo tuko inde

Hii nipige mocha ziregester
Ndio by 6 PM tukuwe matingde
Pigia mapengting waalikwe
Mapumpum maslimting bora ni mashine

Fare itumwe wakifika wakaribishwe
Leo matoto zinaparty na mafise
Ingia online itishwa delive
Mizinga ka nne na packet ya minute maid

Wasee wasee kwani form leo ni gani?
Si tuchafue tuharibu bila amani
Ianze home alafu tumalizie westi
Hakuna form basi wasee wako 18

Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi
Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Adventures of Chris Kaiga (Album)


Copyright : (c) 2022


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CHRIS KAIGA

Kenya

Chris Kaiga is an artist from Kenya. He is best known for his unique flow in music and catchy phrase ...

YOU MAY ALSO LIKE