Tina Lyrics

Mchana Peupe
Yani mi Uliniabisha hadharani
Upendo wangu we
Ukauvunja vunja wote
Si Ungeniambia we
Hunipendi wala isiingefikia hivi
Aibu
Ona sasa Aibu
Mi Ningejua mapema
Ningesema bora tuachane
Umenipa ukilema
Ona vile wananisema
Ah Moyo wangu maumivu
Moyo Wangu yote sababu ni we
Ni we
Ni we
Ni we
Ni wewe
Ni we
Ni we
Ni we
Ni wewe Yote sababu ni wewe
Tina nananaa
Tina ni wewe
Tina nananaa
Sababu ni wewe
Tina nananaa
Tina ni wewe
Tina nananaa
Tina ni wewe
Pendo langu moyo wangu vyote nilikupa wewe
Mi sikujua kumbe najipenda mwenyewe
Sura yangu sijui wapi pakuificha mie
Yani ulivyonicheza mie
We Mama nenda lote
Yani unanicheati mwenzio
Uko busy na kina brayoo
Gal why you doing me wayo (wayo)
Umenipa ukilema
Ona vile wananisema
Ah Moyo wangu maumivu
Moyo Wangu yote sababu ni we
Ni we
Ni we
Ni we
Ni wewe
Ni we
Ni we
Ni we
Ni wewe Yote sababu ni wewe
Tina nananaa
Tina ni wewe
Tina nananaa
Sababu ni wewe
Tina nananaa
Tina ni wewe
Tina nananaa
Tina ni wewe
Yote sababu ni Wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE