Mapenzi Lyrics
Mani Martin
Oooh ooh Sauti sol
I-I-I know you are my bestfriend
(Best friend ooh my)
Nataka tuwe wapenzi
Hivi tunavyohisi
Ni siri yetu wawili
Oooh, ila usimindi
Usisikize za wastadii
Sio marafiki
Wana wivu ni manafiki
[Bien Sauti Sol]
...
Show me your love nachotaka
Ni mapenzi, mapenzi mama
..
Mapenzi mama
Nipe nipe nipe nikupe
Mapenzi mama
Come on beiby, give me love
Give me love
...
Wewe nipee mapenzi
[Mani Martin & Savara]
...
Wewe nipe mapenzi
Pendo langu halidanganyi mama
Moyo ushapagawa
I swear
Nikikulola
...
Nachotaka ni mapenzi mapenzi mama
Mapenzi mama
...
Nipe nipe nipe nipe nikupe
Mapenzi mama
Come on beiby
Give me love
Give me love
...
Wewe nipee mapenzi
(Mmmh mmmh...)
[Sauti Sol & Mani]
...
Nachotaka ni mapenzi, mapenzi mama
Nipe nipe nipe nikupe, mapenzi mama
Come on beiby
Give me love
Give me love
Nobody can love me like you
Wewe nipee mapenzi
Nobody can love me like you
Wewe nipee mapenzi
Nobody can love me like you
Wewe nipee mapenzi
Nobody can love me like you
Wewe nipee mapenzi
Nobody can love me like you
Wewe nipee mapenzi
Nobody can love me like you
Wewe nipee mapenzi
Pesa ngai bolingo
Wewe nipee mapenzi
Oooh pesa ngai bolingo cherie
Wewe nipee mapenzi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Mapenzi (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MANI MARTIN
Rwanda
Mani Martin is a singer, songwriter, performing & recording artist based in Kigali - Rwand ...
YOU MAY ALSO LIKE