Home Search Countries Albums

Slow But Sure Lyrics


Wananiita tosh, oosh oosh
Kichwa Moshi Hazintoshi
Me ni Yule Wanted most
Kwenye game Nishakuwa ghost
Kwenye page Nishaweka Post
Ukifata location Lost
Ukigusa Umeme Krrrrr
Msingi Soko Masela
Watoto Chocho
Docho ooh
Gush gush au njoo upotee
Waku bust bust njoo ugongee
We nuksi nuksi usisogelee
Sinaga ukabila wala dini
Sinaga utaahira
Hapa mjini
Kama nini nini
Natua kama tii
Nakamatia kati mchezo nauvulia na shati
Leo tunavunja makabati
Watu wanataka kuparty
Wanataka ku party
Juu chini
Paka
Eeeeeeeehh

Slow But Sure
Mwendo wa kobe
Slow but sure
Mwendo wa kobe
Slow but sure
Mwendo wa kobe
Kwenye chakala chakala na mziki wa shabani madobee
Slow but sure
Mwendo wa Slow But Sure

Wananita tosh Oosh oosh
Mi mwenyewe mikoso mzee wa noti
Nkishoot sikosi kitu na box mos mos
Kata shot hamna loss mi ndo boss na ofcoz
Leo hapa hapa toshi
Nna mapigoo kama mmachameeeee Usijichanganye
Unatamba una bebe moja mwenzako nimepoa nak ama nane
Ona nana naneee akanana kalile kane
Sina slogan za Watoto wa town me I’m all about my money
Natua kama tii
Navunja kamatii
Nakamatia kati mchezo nauvunlia na shati
Leo tunavunja makabati
Watu wanataka kuparty
Juu chini mpaka kati kati
Ni valangatii

Slow but sure
Mwendo wa kobe
Slow but sure
Mwendo wa kobe
Slow but sure
Mwendo wa kobe
Kwenye chakala chakala na mziki wa shabani madobee
Slow but sure
Mwendo wa Slow But sure

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Slow But Sure (Single)


Copyright : ©2023 CMG.All Rights Reserved


Added By : Sainclair Fonkou

SEE ALSO

AUTHOR

MAILI MBILI

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE