Home Search Countries Albums

Wapi Diss

MAGIX ENGA Feat. ODI WA MURANG'A

Wapi Diss Lyrics

Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mafala)
Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mambleina)

Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mahater)
Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mambleina)

Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mahater)
Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mambleina)

Hit after hit after hit ni kaa mimba
Buda unadiss na una followers wawili
Ka una connection shika namba ya Willis
Hunanga dem kazi kunyonga tumbili

Ju hauna choice vile hii beat ni mbovu
We ni fan na unadream kuniona
Buda unanidai beef na haujatuma deposit
Wachana tu namziki sana uza pillow case

Ulijua kutweet ama bado una research
Ulijua ku-- dem wako bado una --
Yaani hunanga bahati hata uvae dress
Unachoma (Achana na biz fanya kazi ya uvuvi)

Ati jina ati ulipewa na Kasolo 
Na vile nakucheki bado uko na kaushamba
Only guy ako na Gucci za kushonesha
Reeboks anawashwa ni Balenciaga

Show uliperform mwisho Garissa admit (Admit, admit)
Ilikuwa na watu sita admit (Mmmmh...)
Na walikataa ngoma zako (Admit, admit)
Mziki imekataa kulipa admit (Admit, admit)

Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mahater)
Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mambleina)

Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mahater)
Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mambleina)

Watu wa kona inabidi tujikubali by the way
Asikuite Twinnie na anakaa wanja kihiii
Mpige picha fiti na bado atadelete
Tena apige 16 na hakuna hata ka IG

Omundu, omundu, omundu na wake
Lucinto, Lucinto nimeriada ngeus wake
Or above all si ashughulike na yake
But iza bro, odi alikufanga kwake

Sikatai ni mtoi wa mtu, lakini ako kwangu ndethe
Rapper anakaa kwa makuti, kwa video ako kwa ndege
ATM ni ya Muthaiga na unatoa soo mbili
Imekuwa noma sana kuiva shada na una bibi

Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mahater)
Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mambleina)

Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mahater)
Sijui hutoka wapi
Wakiskia kimewaka hutoka wapi? (Hawa mambleina)

Donge kega, keriii
(Magix Enga on the Beat)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2020

Album : Wapi Diss

Copyright : (c) 2020 Magix Empire.

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MAGIX ENGA

Kenya

Magix Enga real name Njenga Chege aka Beat King is a music producer and a Singer from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE