Home Search Countries Albums

Wizo Man

BOUTROSS

Wizo Man Lyrics


Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizza
Loud ina shika like chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But! Yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
Check vile mbogi ina go
Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizza
Loud ina shika like chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But! Yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go ( Go )
Check vile mbogi ina go ( Go )

Ushai meno ina glisten
Kifua ina ma cling cling cling cling
Gelato ndio mimi na stink
Kwa hiyo amiri na jale ya mawinch wich
Hiyo uso umedunga ni vintage
Usha try kuipaka the vaseline
Hizi vibe una leta ni tricky
Nyi ndio huvuta ma nyasi kwa picnic
Hii ngoma ina essence ya wizkid
Chibalonza na gospel ya big pin
Waki ni chocha na wachukulia meeting
Na wachukulia choma na whiskey
Chinchilla ime nifika hadi chin chin
Vile snow ina ni piga baridi
Kuna kitu ina shine kwa hizo teeth teeth
Hadi na shidwa kubonga fiti

Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizza
Loud ina shika like chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But! Yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
Check vile mbogi ina go
Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizza
Loud ina shika like chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But! Yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
Check vile mbogi ina go

Ali lilianga vitamin
Saa hiyo sikuwa hata na single man
Ngori ilifuata na vita man
Juu mbogi ili swallow the singleton
Wali nikatianga hata stima then
Fuse nika rudisha kwa meter man
Wana thani ma mjinga yea
Sherehe hiweza katika man
Kijana amaeshikilia city
Niku choche ati mimi si ringi
Pili ina kuashia nini?
Vile ulikua hizo vitu vi greedy
But! Mbeibe alitry kunishika man
Nikamwambia baby I am innocent
But vile ngeus ali ni ita tena
Nili mpiga hiyo smile ya adolescence

Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizza
Loud ina shika like chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But! Yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
Check vile mbogi ina go
Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizza
Loud ina shika like chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But! Yangu haikatwi na ritalin
Check hiyo mbogi ina go
Check vile mbogi ina go (Go! )

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Mawingu (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BOUTROSS

Kenya

Boutross Munene is a Composer/Producer/Rapper from Kenya. Boutross is from the AD Family a kenyan sh ...

YOU MAY ALSO LIKE