Home Search Countries Albums

Gona Remix

MADINI CLASSIC Feat. SSARU

Gona Remix Lyrics


Madini Classic yeah
Ssaru (Vicky pon dis)
Anasema ni moto, handsome
(It's Jessy on the beat)

Sexy mamacita eeh
Cock up your gun jeshi linapita eeh
Sinyorita si umeniita eeh
Pepeta majigi chuma linapita eeh

Pindua michezo kama lotto lotto
Leo tupo ghetto na watoto toto
Ssaru na Madini yaani moto moto
Aaah aah ayeee

Kisima kisima (Hii)
Mi sitaki kisima
Halima Halima
Leo nina jembe nalima

Katoto kameiva embe dodo, dodo
Yaani katamu chapo dondo, dondo
Natamani nimpige hata mboko
Ila anapenda kushika hii kiboko

Haya gona gona gona (Eeh)
Katoto gona gona, gona(Eeh)
Beiby gona gona, gona (Eeh)
Gona gona go

Haya gona gona gona (Eeh)
Katoto gona gona, gona (Eeh)
Beiby gona gona, gona (Eeh)
Gona gona go

[Ssaru]
Aah huku kwenye kona
Baby ifanye kama vita
Walahi unanimaliza mi ukiniita mamacita
Kuna wadau pale wanataka kubisha
Lakini simba lao lipo ndani linatisha

Nimekupa kiti keti nimekukaribisha
Hata ukitaka cheti nakuongeza visa
Yaani unakula keki inaonja kama pizza
Unararua tu hakuna kubakisha

Pale nikianza Madini anatamatisha
Mpaka huwaga natense si baby unachoma picha
Ju wanipa penzi mpaka nimefura bichwa
Siku hizi huwaga naringa chei looku napigishwa

Mi nalishwa, mi navishwa
Na nikisimama kutembea mi napishwa
Ndani ya mapenzi mi nabembea nawika
Mi nakumiss baby gona gona

Gona gona gona (Eeh)
Katoto gona gona, gona(Eeh)
Beiby gona gona, gona (Eeh)
Gona gona go

Haya gona gona gona (Eeh)
Katoto gona gona, gona (Eeh)
Beiby gona gona, gona (Eeh)
Gona gona go

Haya chimba eeh (Chimba)
Yaani ka we unatafuta madini (Chimba)
Congo Congo Fally Ipupa (Chimba)
Huko juu mi naizamia kwa chini (Chimba)

Yaani ka we unatafuta madini (Chimba)
Congo Congo Fally Ipupa (Chimba)
Huko juu mi naizamia kwa chini (Chimba)

Gona gona gona (Eeh)
Katoto gona gona, gona(Eeh)
Beiby gona gona, gona (Eeh)
Gona gona go

Haya gona gona gona (Eeh)
Katoto gona gona, gona (Eeh)
Beiby gona gona, gona (Eeh)
Gona gona go(Chimba)

Eeh, eeh, eeh, eeh...
Chimba! 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Gona Remix (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MADINI CLASSIC

Kenya

Madini Classic is an artist/singer/Songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE