Kampuni Kubwa Lyrics
Asinza sinza, Afrika sana
Najichanganya kijito nyama
Mikocheni masaki mbezi bana
Tipsini sasa, kidimbwi chacha
Menzo, wuwuwu
Let's go, wuwuwu
Sa sema ni chuchu
Boss ni Mungu
Jaribu kushindana unajimaliza
Mwenyewe, mwenyewe mwenyewe
Jaribu kushindana unajimaliza
Mwenyewe, mwenyewe mwenyewe
Jaribu kushindana unajimaliza
Mwenyewe, mwenyewe mwenyewe
Jaribu kushindana unajimaliza
Mwenyewe, mwenyewe mwenyewe
Let's go, let's go
Let's go to the moon and sky
Let's go, let's go
Let's go to the moon and sky
Kampuni kubwa sana na inajulikana
Group of companies, group of companies
Kila siku vingine, vingine ni vingine
Moto ni mmoja tu, totozi zote juu
Moto ni mmoja tu, totozi zote juu juu
Kampuni haina mwenyewe
Iko na CEO's, iko na CEO
Kampuni haina mwenyewe
Iko na CEO's, iko na CEO
Jaribu kushindana unajimaliza
Mwenyewe, mwenyewe mwenyewe
Jaribu kushindana unajimaliza
Mwenyewe, mwenyewe mwenyewe
Jaribu kushindana unajimaliza
Mwenyewe, mwenyewe mwenyewe
Jaribu kushindana unajimaliza
Mwenyewe, mwenyewe mwenyewe
Kampuni kubwa sana, kubwa sana
Yebo, yebo, yebo
Kampuni kubwa sana, kubwa sana
Yebo, yebo, yebo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kampuni Kubwa (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE