Home Search Countries Albums

Natetemeka

LOMODO Feat. KAYUMBA

Natetemeka Lyrics


Iyeeh
Ah nana nanah
Mmh ooh

Nipumzishe mama, moyo unaenda mbioo
Nahisi nakufa, nakufa kuzikwaa
Mana mmh anhaa, unavyofanya sioo
Mwili unaisha, unaisha kupukutikaa
Mapenziii, niya watu wawilii
Na amimi nishadondoka kwako
Chaguo ni wewe eeh
Nita enzi (nita enzi)
Sitafanya sirii kwako nakula kiapo
Naomba unielewee eeh

Oh tusafiri nikufikishe kunako ooh
Mapenzi tanga yalipozaliwa
Twende manzabay bata la Dubai
Kisha nikurudishe mwahako
Nikubalii niwe wako
Mwenzako naumwa kukatalia
Yani niko hoi wakulazwa moi
Ila tiba yangu ipo kwakoo
Mwenzako huku natahabika moyo unapepea pee
(Natetemeka)
Kama jogoo limeshawika we ndio mtetea tee, ooh
Sitofunua kufunika aah
Nipe moyo nikulele eh, natetemeka
Kama jogoo limeshawika wewe ndio mtetea tee, ooh

Nipe nafasi ya mapenzi (penzi penzi penzi)
Maamuzi yako, kwangu hutojuta
Ujana kuchezeana nishavuka
Kwako nishajipanga, na gwanda nishanyuka
Karibu dunia ya mapenzi (penzi penzi penzi)
Hapa taratibu sinaga pupa
Wenye haraka, walisha shuka
Nakukaribisha malaika
Kwako ujanja sina, sinaa ujanja
Mizoba wa akili, na moyo wangu umeshazima
Usije ni nyima, we ndo mizizi tegemeo langu mi shima
Haya yayaaaaa
Tusafiri nikufikishe kunako
Mapenzi tanga yalipozaliwa
Twende manzabay bata la dubai
Kisha nikurudishe mwahako
Nikubali niwe wakoo
Mwenzako naumwa kukataliwa
Yani nipo hoi, wakulazwa moi
Ila tiba yangu ipo kwako
Mwenzako huku natahabikaa
Moyo unapepea pee (natetemeka)
Kama jogoo limeshawikaa, we ndio mtetea tee
Ooh
Sitofunua kufunikaa nipe moyo nikulelee (natetemeka)
Kama jogoo limeshawikaa, we ndio mtetea tee

Mwenzako huku natahabikaa (natahabikaa)
Natetemeka
natetemeka

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Natetemeka (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

LOMODO

Tanzania

LOMODO is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE