Home Search Countries Albums

Original

LJAY MAASAI Feat. CAROL SOMS

Original Lyrics


[LJAY MAASAI]
Yeaaah  aaah
Uuuuuuhhh

Ukinituma nita duuh
Nita nita follow you
You’re my life
You’re the air I breathe

[CAROL SOMS]
Hey penzi lako juu uuh
Kwako Napata nafuu uuh
Nita data data yeah
Ni ni ni nitakosa yeah

Nime songea uni pambe
Kwenye uchungu uni kande eh
Kama ulivyo ahidi
Toka day one
Toka day one

[LJAY MAASAI]
Ohooo ohoho… Na muziki
Iko na majaribu
Mapeni na mabinti
Wanitoa wazimu
Wengine wanafiki
Hawataki ni niwe juu
Nakimba na sifiki
Niko vile tu
Kila siku ya wiki
Me naomba tuu uuh

[CHORUS]
Ni weke original, original, original eeh
Sitaki me niwe photocopy
Original Original (eh), original eh
Nibaki original (original), Original eeehe
Nataka wengine wani copy
Original, original, original

[LJAY MAASAI]
Na devil aki kam
Nita mwabia ah  imeandikwa aah
Na akileta jam
Tuna kemea, tuna fagia
Na bado me ni warrior
Nita worry hao
Niko na wewe hapa
Na bado niko area
Sipotei unani pendaga sana
Vile unani surprise sina otherwise
Kwako sita toka
Umeni organise, sita compromise
Shukurani nita kupa aah

[CAROL SOMS]
Uki hesabu uwaminifuu
Sitaki nikose sitaki niangamie eeh
Na ukikumbuka kzia njema za waatu
Usisahau Yangu eeh uuuh Iyeh

[LJAY MAASAI]
Sitaki zile party
Niko na Yesu nime kataa
Mabeshte not not not no

[CHORUS]
Ni weke original, original, original eeh
Sitaki me niwe photocopy
Original Original (eh), original eh
Nibaki original (original) Original eeehe
Nataka wengine wani copy
Original, original, original

Ni weke original, original, original eeh
Sitaki me niwe photocopy
Original Original (eh), original eh
Nibaki original (original) Original eeehe
Nataka wengine wani copy
Original, original, original

Original, original, original
Nataka wengine wani copy
Original, original, original

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Original (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

LJAY MAASAI

Kenya

Ljay Maasai is a Kenyan artist. Male Artist of the Year 2016 at the Groove Awards. ...

YOU MAY ALSO LIKE