Home Search Countries Albums

Zawadi

NADIA MUKAMI Feat. LATINOH

Zawadi Lyrics


Zawadi kanipa mungu sasa kwanini nisipokee
Zawadi ya kiyoyozi palipo joto baridi unipepee
Tena baridi si nyingi kiasi usingizi uniletee
Nikitoka kazini uchovu mawazo unifanya yapotee

Ivi ushapendwa manake nikipenda waga napenda kweli
Uoga kwa wakutendwa usihofu mimi si kama wale matapeli
Basi leo nadeka nacheza napendwa na
Wewe, Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe

Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby
Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa)
Nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa)
Mi ni wako pekee mwengine hapana
Wanaosema watasema sana

Nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh
Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
Zawadi yangu...zawadi yanguuu

Kwa geti ntaekea mbwa kali ndio mafisi wasisogee
Nikulinde nikutunze sarafu mikononi usinipotee
Niruhusu nikugande chawa
Umenishika pabaya
Unachotaka mi ni sawa
Mana nishapagawa

Jamani penzi letu limebobea
Nimepata wangu mi napepea
Kitausi naringa nikitembea
Unavonipenda najichekea
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe,(na wewe)
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe
Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby

Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa)
Nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa)
Mi ni wako pekee mwengine hapana
Wanaosema watasema sana.

Nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh
Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
(Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe)
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
(Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe)
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na ewe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Bundle Of Joy (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NADIA MUKAMI

Kenya

Nadia Mukami Mwendo is a Kenyan vocalist, singer, songwriter, singer & performer. Born in Pumwan ...

YOU MAY ALSO LIKE