Home Search Countries Albums

Nimerudi

JUSTINA SYOKAU

Nimerudi Lyrics


Aai we 2020 nimerudi
Niko na energy niko na nguvu
Ya roho mtakatifu ya kumsifu Mungu
Power, annointing aii wee

Nimerudi, nimerudi
Nimerudi, nimerudi
Nimepona na tena nina nguvu
Nimerudi nikimsifu bwana
Nimerudi na mkatiko mpya

Yesu ataiwe, e kataiwe
Nina kusi ni uikite manena
Yesu ataiwe, e kataiwe
Nina kusi ni uikite manena

Ametenda muujiza
Nimeona mkono wa Bwana
Ametenda muujiza wa bwana
Nimeona mkono wa bwana

Waliosimama na mimi Kenya, Africa, USA 
Autralia, Asia, Europe na dunia nzima
Mungu awabariki sana

Asante kwa walioniombea
Asante kwa walionipa support
Naomba Mungu wangu awabariki
Katika shida zenu awakumbuke

Na wale walionikejeli
Na wote walionitusi
Mimi nimewasamehe wote

Nimepona na tena nina nguvu
Nimerudi nikimsifu bwana
Nimerudi na mkatiko mpya

Yesu ataiwe, e kataiwe
Nina kusi ni uikite manena
Yesu ataiwe, e kataiwe
Nina kusi ni uikite manena

Ametenda muujiza
Nimeona mkono wa Bwana
Ametenda muujiza wa bwana
Nimeona mkono wa bwana

Niko na nguvu sasa letenni kazi
Nitaichapa ilale
Wale wa Roadshow events zikuje

2020 sasa nimerudi
Ma blogger najua mlinimiss
Netizen tupatane mitandao
Facebook na Twitter nimerudi
Tiktok na Ista mningoje

Challenge lazima zitembee 
Whatsapp status tuchafue 
Tv na maredio kazi kwenu

Nimepona na tena nina nguvu
Nimerudi nikimsifu bwana
Nimerudi na mkatiko mpya

Yesu ataiwe, e kataiwe
Nina kusi ni uikite manena
Yesu ataiwe, e kataiwe
Nina kusi ni uikite manena

Ametenda muujiza
Nimeona mkono wa Bwana
Ametenda muujiza wa bwana
Nimeona mkono wa bwana

Mwa yesu ni wekete
Chama ee chama, Chama ee chama 
Chama ee chama, Chama ee chama 
Chama ee chama, Chama ee chama 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Nimerudi (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

JUSTINA SYOKAU

Kenya

Justina Syokau is a born again Kenyan Award winner Gospel Artist and a motivational speaker from Mac ...

YOU MAY ALSO LIKE