Ringtone Ft Shann Cool Lyrics
Mhhh Umbo lako thufutwende, ka ulizaliwa na mavazi mamaah
Fat ndondero, Hot morero mpenzi weeh
Na ungewa peremende, Ningekula mpaka karatasi
Kakitoweo, my kipepeo mpenzi wee
Wengine mihogo, kwako Nala maini
Yani mkorogo, smooth kitu laini Na akina mbogo
Wakileta zogo Ntawalamba gogo Wajue we ni wa mine iih
Ndugu zangu usiwasikie (iyeeeeeeeeh)
Dada zangu uwavumilie (iyeeeeeeeeh)
Hawataki tufurahie (iyeeeeeeeeh)
Mimi na wewe Nipikie niwafurie (iyeeeeeeeeh)
Tupendane washuhudie (iyeeeeeeeeh)
Baadae wasimulie. Kwa majirani
Sauti Kama kinanda (My ringtone)
We ndo yangu burudani (My ringtone)
We ndo Pete mi ndo Chanda (My ringtone)
Nakukabidhi usukani (My ringtone)
We ndo my queeeeeeen (My ringtone)
All I neeeeeeeeed (My ringtone)
Aaaaaaah (My ringtone)
Mhhh (My ringtone)
Yeiyeeeeh (My ringtone)
Handsome, gentle, ndume la kimasai
Future husband, my best song
Wote wanakudai Wasikulaghai, ati sikufai
(Ni Mimi na wewe mpaka mwisho tukifly)
Napenda ukiniita voice Kama guitar Sweetart My mister
Definitely my minister Agiza upewe Niguze nilewe
Ukija nyumbani naomba usichelewe
Na hawa mamwewe Babe nielewe
(Hawataki kuona tukifurahi na wewe)
Nakuhakikishia, Ntakuhudumia , Unawiri, unone
Wabaki wanazimia Nawakirudia Kukukaribia Ntangoa mtu meno
Wajue nakuzimia
Sauti Kama kinanda (My ringtone)
We ndo yangu burudani (My ringtone)
We ndo Pete mi ndo Chanda (My ringtone)
Nakukabidhi usukani (My ringtone)
We ndo my queeeeeeen (My ringtone)
All I neeeeeeeeed (My ringtone)
Aaaaaaah (My ringtone)
Mhhh (My ringtone)
Yeiyeeeeh (My ringtone)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Ringtone Ft Shann Cool (Single)
Added By : Leteipa the King
SEE ALSO
AUTHOR
LETEIPA THE KING
Kenya
Vampk254 also known as Leteipa the King is an Afro pop music artist from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE