Home Search Countries Albums

Nane Ondoa Moja Ft Bonnie Winsome

LETEIPA THE KING

Nane Ondoa Moja Ft Bonnie Winsome Lyrics

Sura cute kama Shiro shape ya Akinyi mtoto anavutia
Yaani kedo keoyoyo utamu Hadi kwa ngoro
Anavyokata kiuno juu mpaka chini nahisi kubugia
Kwa ukafi na uchoyo nasahau my sorrow
Unavyoniroga we umeniwahi
Utamu wa soda siwezi denie
Ati wanabonga we haunifai
But watajinyonga si tukijinice
My marabwani babe boo
Wee ndo nyama kitunguu biringanya thufu tu thufu tuu
Mbele yako sikukuu nyuma yako kichuguu
Kam tuunde wajukuu wajukuu

(nane ondoa Moja ah ah aha) ka unapuliza moto hebu Anika nione
(nane ondoa Moja) ka unaosha mtoto hebu thigitha nipone
(nane ondoa Moja ah ah aha) unanipandisha joto leta weeedah nichome
(nane ondoa Moja) nisahau Niko msoto zikirarika nishone

Wine fi dih beat jiggle Fi dih beat spin
Pon dih beat giving sweet kinda love
gal you make it lit vile unakil
you do it like a drill vile love unaseal

Mtoto ripe ripe sema lugha vujuven
Spin hiyo bompa kama from Japan ukistep in tunacut the chain
Vilevile ukibinga bado ni insane
Nipe tamtam chew kama mbinginji nitadrive ndani mita kama sixty six
jackpot nakawayne kwangu bed ni fixed donda
Nikidandia nakachop kwa speedie
Wacha katambe walae shourtie unavyonipa haucheki my bae
Acha tukesi baadae vile unanimada bae am ready to die
Wacha katambe walaeo love unavyonipa haufakeit my bae
Acha tukesi baadae vile unanimada bae am ready to die

(nane ondoa Moja ah ah aha) ka unapuliza moto hebu Anika nione
(nane ondoa Moja) ka unaosha mtoto hebu thigitha nipone
(nane ondoa Moja ah ah aha) unanipandisha joto leta weeedah nichome
(nane ondoa Moja) nisahau Niko msoto zikirarika nishone

Wine fi dih beat jiggle Fi dih beat spin
Pon dih beat giving sweet kinda love
Gal you make it lit vile unakil
You do it like a drill vile love unaseal

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2021

Album : Nane Ondoa Moja Ft Bonnie Winsome (Single)

Added By : Leteipa the King

SEE ALSO

AUTHOR

LETEIPA THE KING

Kenya

Vampk254 also known as Leteipa the King is an Afro pop music artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE