Home Search Countries Albums

Cute Gal Lyrics


You are bright like star, Unang'aa ka star
Brown skin ngozi haina hata ka scar
Ndo nikikupata maze joh umekaa kwa mtaa
Najiuliza maquestions mingi kama
Are you a princess?
Are you a queen dear?
You look delicate kwani uliumbwa ma nuclear
Unaeza nipa number nitakupigia
Unaeza Ingia box nikikukatia

Coz you are cute gal Cute gal Cute gal
Sparkling bright, sparkling bright Alright
Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal
Sparkling bright, sparkling bright Alright

You are calm like dove Straight and no curve
Everytime I watch you walking I just feel some nerve
You give me sweet love with the things you have
Ntakutunza kama pipe Ntakutunza ka valve
Kweli you deserve Mimi kukuserve
Kwa list yangu ya waresh You appear above
Ungekuwa nyama ningekula mpaka Mfupa
Ungekuwa soda ningekunywa mpaka chupa
Ungekuwa gym ningeinua bila pupa
Like an incect egg lava mpaka pupa
Hukuwa created, you were discovered
Highly reloaded ka application ya java
You are my Godded you are my lover
Ningekuwa textbook ningekufanya cover

You are bright like star, Unang'aa ka star
Brown skin ngozi haina hata ka scar
Ndo nikikupata maze joh umekaa kwa mtaa
Najiuliza maquestions mingi kama
Are you a princess?
Are you a queen dear?
You look delicate kwani uliumbwa ma nuclear
Unaeza nipa number nitakupigia
Unaeza Ingia box nikikukatia

Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal
Sparkling bright, sparkling bright Alright
Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal
Sparkling bright, sparkling bright Alright

Ninakuja kwako nimetoa mpaka koti
Hata ikinibidi maze napiga magoti
Naomba nafasi Nikupe madotidoti
Sina noti But I promise ntakupa mapenzi hotty
You make me shive Ka mwizi na siku forty
Ninakuhitaji kama mtoi na poti
You are diet like a rabbit na carrot
You are my omena like Otieno and Atoti
Uko nutritious ka sukuma wiki
Hata ukishuta maze jooh hakanuki
Mimi ndo helmet na we ni pikipiki
Wewe ndo hours na mi siku ya wiki
Nakupenda malaika Kwako mi nimefika
Sioni Aibu kusema natangaza kwenye spika
I am not lying ni kweli mi naandika
You are mine forever if you leave ntababaika
Bila kudanganya Umenivutia Harufu yako babe gal ninanusia
Damu inanifroze mi nikikuskia Nanikikipata ntabahatikia

You are bright like star, Unang'aa ka star
Brown skin ngozi haina hata ka scar
Ndo nikikupata maze joh umekaa kwa mtaa
Najiuliza maquestions mingi kama
Are you a princess?
Are you a queen dear?
You look delicate kwani uliumbwa ma nuclear
Unaeza nipa number nitakupigia
Unaeza Ingia box nikikukatia

Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal
Sparkling bright, sparkling bright Alright
Coz you are cute gal, Cute gal Cute gal
Sparkling bright, sparkling bright Alright

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Cute Gal (Single)


Added By : Leteipa the King

SEE ALSO

AUTHOR

LETEIPA THE KING

Kenya

Vampk254 also known as Leteipa the King is an Afro pop music artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE