Siendelei Lyrics
Vile nampendaye
Najihisi nina kichaa
Tumelijengae
Madhubuti limekitaa
Nitambe naye Niringe naye
Nigande nikugande wote washangae
Nizae nae tua tupae
Kama ndege kwa kiota twende tukakae
Nitambe naye Niringe naye
Nigande nikugande wote washangae
Nizae nae tua tupae
You will always be my star
Kwa kila ila unanitibu you're my pain killer
Na sina dira
Nimefika ni basi siendelei
Kwa kila ila unanitibu you're my pain killer
Na sina dira
Nimefika ni basi siendelei
Penzi lako la lewesha
Youre my shine always in the dark
Kwako nishapenda
Nisije nikahata
Huu mchezo sio karata
Kwako nishapenda
Penzi lako la lewesha
Youre my shine always in the dark
Kwako nishapenda
Nitambe naye Niringe naye
Nigande nikugande wote washangae
Nizae nae tua tupae
Kama ndege kwa kiota twende tukakae
Nitambe naye Niringe naye
Nigande nikugande wote washangae
Nizae nae tua tupae
You will always be my star
Kwa kila ila unanitibu you're my pain killer
Na sina dira
Nimefika ni basi siendelei
Kwa kila ila unanitibu you're my pain killer
Na sina dira
Nimefika ni basi siendelei
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Rhythm of Love (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LAROTA
Kenya
Larota real name Laurriette Rota also known as Larota Africa is an artist from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE